Namzungumzia rafiki yangu wa karibu sana namfahamu in and out. Hakuna anachoweza kufanya nisijue
Kwa sura yuko very handsome, na ni mzungumzaji sana.
Sasa jamaa ni mjuzi sana wa kujichanganya na watu. Nikitembea naye, tukikutana na watu hata kama hatufahamiani unakuta kashaanzisha mazungumzo.
Linapokuja suala la michepuko jamaa anapendwa sana na wanawake mpaka nashindwa kuelewa huwa anawafanya nini. Akitaniana na mdada tuu ujue demu kashaingizwa kwenye line.
Kasheshe inakuja anapokubaliwa request yake anaanza kupiga chenga, mara aje aombe ushauri, mara amfanyie tathmini, na sababu kibao. Kati ya wanawake watano ataishia kupiga mzigo mmoja. wengine anawapotezea.
Hili jambo huwa linawaudhi sana wanawake, sometimes ananionyesha msg wanazomjibu, mpaka inakuwa kero
Nipeni wazo nimshaurije huyu mtu. Wakati mwingine najaribu kujiweka mbali naye lakini inakuwa ngumu kwa sababu nafanya naye kazi pamoja.