mweleze wazi ajue na pia mwambie mpenzi wako mpya kuwa kuna mtu anakuharass ili isije leta kasheshe kama ni muelewa.
Hao ndio wale magume gume wasojua kukataliwa.
MTOTOWAMJINI Nilikuwa na hilo wazo la kubadilisha namba za simu, lakini nimeona hakuna haja kutokana na kwamba kwa sasa namba zangu zinatumika kazini, hivyo nitawachanganya na watu wa muhimu ambao wana namba zangu tayari. Nashukuru kwa ushauri mzuri.hiyo kitu ni simple badilisha namba uanze upya...kuna baadhi ya watu wana hiyo tabia
SAMSTEVIE huwezi amini hata huyo mtu mwenyewe sijamfahamu mpaka hivi sasa. Kila nikijaribu ku-trace hiyo namba, haitoi jibu lolote. Pia nisingeshindwa kumeleza hayo kwakuwa huwa sipendi kujibu message hovyo kwa mtu nisiyemfahamu.Mwambie humtaki la sivyo tutaamini unatuzuga
mweleze wazi ajue na pia mwambie mpenzi wako mpya kuwa kuna mtu anakuharass ili isije leta kasheshe kama ni muelewa.
usije jaribu hii solution yako itakula kwako....kwani wale unaowakubalia huwa unamwambia,au wale ambao sio wasumbufu huwa unamwambia??kwa kifupi unakuwa umemwekea alarm tayari na kuwa makini na ww.
Kwakuwa umemdhulumu penzi mrudishie penzi lake uone kama atakufuata tena
Habari zenu wana JF. Jamani siku hizi kuna wanaume ambao hawana hata busara kabisa. Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za ajabuajabu kwa msichana ambaye walishaachana nae hapo zamani na anajua wazi kabisa tayari upo na uhusiano na mwanaume mwingine ambaye mnapendana sana.
Hivyo kutokana na wivu alio nao ataanza kukufuatilia kwa maneno ya ajabuajabu, ili mradi tu akuvurugie uhusiano wako na mwanaume uliye nae.
Jamani wana JF naombeni ushauri wenu kwa wanaume wa namna hii wafanyweje?