Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
Hellow
Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu.
Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida.
Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp status akicheza taarabu

.