Hivi wewe Cute Cindy unajua maana ya kumtoa mtu "outing"???Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..
Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..
Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
Hiyo 10,000 nilikwambia nitumie nikanunue chipsi mwenyewe pale kwenye mabanda nikalie nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].That’s why unanikazia nisikutoe out na Elf 10 yangu si ndiyo Fresh tu.
Tena siyo sehemu ya maana , ni zile chips za barabarani kwenye mabanda. Unanunua unakaa kwenye bench la mabanzi, au unafunga unaenda kulia nyumbani.Outing ya chips mayai hii [emoji16]
Mapenzi ni uchiziSio ujinga hayo ni mapenzi
Savanna moja hyo....sasa unakuta ngoma inapiga savanna 4, bado hajapata samaki makavu na tuchips tuwiwil tutatu..Tena siyo sehemu ya maana , ni zile chips za barabarani kwenye mabanda. Unanunua unakaa kwenye bench la mabanzi, au unafunga unaenda kulia nyumbani.
Sasa hapo mtu na 10,000 anakwambia babe jiandae jioni tunatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Me too.I stop reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
Acha umbea mtoto wa kiume.Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..
Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..
Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
🤣🤣🤣 Dah.. "Chips funga"Tena siyo sehemu ya maana , ni zile chips za barabarani kwenye mabanda. Unanunua unakaa kwenye bench la mabanzi, au unafunga unaenda kulia nyumbani.
Sasa hapo mtu na 10,000 anakwambia babe jiandae jioni tunatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
True kabisa halafu yule mdada aliyekisaidia kama kakusomesha kakugharamia kwa kila kitu hujui alijinyima mangapi ila wewe unaenda oa mwingine ambaye hajakugharamia chochote.Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Sio ujinga hayo ni mapenzi
Naomi alifanya kosa gani kwa mumewe?Siyo wote huwa tunakuja kulalamika huku.
Mume wa Naomi sidhani kama alikuja huku.
Hivi kama humtaki au huna malengo na mtu si unamtema mapema kabla hajaanza kuwekeza!
Huo ni ulaghai na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu Ni jinai ila kwa kuwa hakuna sheria basi jungle Justice itawahusu sana.
Outing ya chips mayai hii [emoji16]
Savanna moja hyo....sasa unakuta ngoma inapiga savanna 4, bado hajapata samaki makavu na tuchips tuwiwil tutatu..
Kwa hayo yote unawaona ni wajinga [emoji44][emoji44][emoji44]Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..