Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Je tatizo huwa ni nini
Kwanini wanaume wengi hufa mapema katika ndoa na mahusiano
Shida inakuwa ni nini?
Kwanini wanaume wengi hufa mapema katika ndoa na mahusiano
Shida inakuwa ni nini?
Mungu huwa anawachukua mapema wakapumzikeJe tatizo huwa ni nini
Kwanini wanaume wengi hufa mapema ktk ndoa na mahusiano
Shida inakuwa ni nini
9/10Stress za
1.)Kuchapiwa
2.)kubambikiwa mtoto
3.)kukuza uchumi wako individual
4.)kukimbizana na ujana
5.)kutoheshimiwa na watoto sababu baadhi ya wanawake wanawajaza ujinga
6.)kupambana na kuhudumia familia
7.)kuwa na nyumba ndogo tamu ๐๐๐โบ๏ธโบ๏ธ๐
Yangu ni hayo ๐ค๐ค๐ค
Hiyo namba 5 kikweli wanawake wajirekebishe hapoStress za
1.)Kuchapiwa
2.)kubambikiwa mtoto
3.)kukuza uchumi wako individual
4.)kukimbizana na ujana
5.)kutoheshimiwa na watoto sababu baadhi ya wanawake wanawajaza ujinga
6.)kupambana na kuhudumia familia
7.)kuwa na nyumba ndogo tamu ๐๐๐โบ๏ธโบ๏ธ๐
Yangu ni hayo ๐ค๐ค๐ค
Acha tu ๐๐๐โน๏ธ๐Hiyo namba 5 kikweli wanawake wajirekebishe hapo
Una akili sana mwanamke weweKiufupi mwanamke akishawekwa ndani anageuka adui Kwa mume....japo Kuna wanaume Wakorofi pia
Pole sana mkuuUna akili sana mwwnamke wewe
Ndo ukweli...kiburi kingiiAngalau wewe mkweli
Angalau wewePole sana mkuu
Nenda kwenye thread yako kule kafanye nilichokuagizaExpectations vs reality
Inasikitisha sana hebu fikiria bada ya miaka mingi ya kuipambamia familia yako nguvu zimepungua au umestaafu na kipato kimepungua kutoheshimiwa na watoto sababu mke amewajaza ujinga ๐๐๐Acha tu ๐๐๐โน๏ธ๐
TayariNenda kwenye thread yako kule kafanye nilichokuagiza
Karibu sanaAngalau wewe
Nafikiria kukuowa
NakupendaTayari