Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Kivipi tunaomba ufafanuziUkizungumzia watu ambao hawa-appreciate wanayofanyiwa wanawake ndo namba moja.
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaokimbia ndoa baada ya wanaume wao kufilisika.Kivipi tunaomba ufafanuzi
Mmh! Hapana nimefanya uchunguzi wangu kabisa naloongea ni kitu nimefanyia utafiti mimi siwezi kumfuatilia mume ambaye anajali familia yake.Unique Flower sikuiz unaanzisha thread nyingi za wanaume kuchepuka, vipi ndugu yangu umepigwa tukio?
Hujaoa mwanamke ulimuoa dunga nyembeKuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaokimbia ndoa baada ya wanaume wao kufilisika.
Wanaume wengi wakifanikiwa hamuachi mke wake, kibaya sana atakachofanya ni ku-cheat tuu lakini mke wake bado atakuwa nae, ila nyie mnakimbia kabisa na hamkumbuka sacrifices tulizotoa kwa ajili yenu.
Na wewe hujaolewa na mwanaume uliolewa na dunga kisu.Hujaoa mwanamke ulimuoa dunga nyembe
Sio kwa mke wangu lakini.Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia,kapeti,na kila kitu.
pole ndugu vipi uliweza ku solve na kuyamaliza? Refer uzi wako wa usiku wa mananeπ¦π¦π¦π¦π€¦ββοΈ
Namshuru Mungu naendelea vizuri my friend... barikiwa sanaππpole ndugu vipi uliweza ku solve na kuyamaliza? Refer uzi wako wa usiku wa manane
Kivipi??Sio kwa mke wangu lakini.
Ni kweliFamilia ni kila kitu, sema ni kujitoa ufahamu.
Ukiona umeolewa na mumeo anafikiria mapenzi, jua huko mbele kuna sehemu mtayumba. Mwanaume hatakiwi kufikiria mapenzi bali majukumu yake kama mume imeisha hiyo. Dada yangu kama mumeo hakuheshimu au unaona amebadilika ongea nae kistaaarabu. Ukiona mambo hayaendi jiongezee thamani. Naposema uiongezee thamani maana yake kiuchumi, kitaaluma na kiroho. Fungua biashara kama kuna fursa ya kuongeza elimu kazini chukua. Kama kuna viwanja vinauzwa mahali nunua e.t.c. Tatizo wanawake mnakariri kuwa kujiongezea thamani ni kujua mautundu ya chumbani π π π π π . Mke wa ndoa kamwe usishindane na nyumba ndogo katika mambo ya ngono. Vimada tunawafanyia mambo ya kutisha ambayo hatuwezi kumfanyia mke wa ndoa. Mke wa ndoa inabidi ujiongeze kiakili, kwa sababu cheo chako ndo kinatupa nafasi ya kukuamini na kukutegemea pale nisipokuwepo katika himaya yangu. Ukijiongezea thamani kama mke ipo siku mumeo atajishusha na kukuheshimu.Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu ,msaidizi pale unahitaji.
Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi.
Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa nakupendwa.
Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia,kapeti,na kila kitu.
Kupika kufua ,na watoto
Mke huakikisha watoto wote wasafi ,wanafya,wanakula,wamefanya majukumu yao yakila siku.
Pia anahakikisha hivyo hivyo kwako. IlA shukurani ni unampiga unamletea shida.
Ila huji kiheshima kwako unakuja kama hapo ni jalalani.
Mtu anakuvumilia anachoka. Kabisa kingine unakuta mtu anachakaa anaonekana bibi kuliko mama mzazi wako kisa manyanyaso .
Mwache akapendwe kunawengine wanampenda na kumdhamini.
Ndio maana jana nilipewa na mtu idadi ya watu walioona wameachana na nizaidi ya ndoa laki 2 zajuzi tu .
Kisa hicho hamuappreciate mnayofanyiwa.
INATOSHA
Mimi sijaolewa ila kupo ni me poNa wewe hujaolewa na mwanaume uliolewa na dunga kisu.