Na bado wanadai haki sawa..😬1. Tunawazidi umri. Wewe una miaka 30 unaoa mwanamke mwenye 25 kawaida hapo wewe utaanza kufa mapema.
2. Tunawaza mambo mengi sana, namna ya kitafuta pesa, kazi, uwaze watoto mkeo n.k
3. Kazi zetu hizi, umeenda mkoa wa mbali unapambana jua lako na mvua. Mwanamke yupo ndani anaamka asubuhi anakunywa chai.
4. Hatupati muda wa kupumzika wa kutosha. Kuna jamaa hapa huwa anatoka saa 11 asubuhi anarudi saa 5 usiku kila siku. Mwanamke ana muda mwingi wa kupumzik
6. Kupiga nyau. Kula sambusa moja au andazi na kikombe kimoja cha chai kisha ukapige nyau. Kama haujazimia kwenye kifua cha mwanamke lkn mwanamke anakula andazi moja na chai na mzigo anatoa fresh tu.
Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Na bado wanadai haki sawa..😬
Usiendelee mkuu unazidi kunihuzunisha..😥Ila kwenye majukumu wanakimbia.
Wewe jiulize tu, una mke mmoja na watoto 5 na hao wote wanakutegemea wewe kula, kuvaa, maradhi, ada n.k Suala la wewe utapata wapi pesa hawalijui. Sasa ongeza na mahitaji yako na ya mchepuko hapo. Lazima ufe mapema.
Hapo Bado members wengine wa extended family...Mtoto wa Mjomba, Shangazi, Baba Mdodo, Mama Mdogo...na hao Mashangazi, Wajomba, Baba na Mama wadogo..wote wanakusubiri...wote wanasubiri uwatumie chochote kitu...Sasa hayo maisha ya kuishi Mpaka miaka 90 yatakwepo kweli?Ila kwenye majukumu wanakimbia.
Wewe jiulize tu, una mke mmoja na watoto 5 na hao wote wanakutegemea wewe kula, kuvaa, maradhi, ada n.k Suala la wewe utapata wapi pesa hawalijui. Sasa ongeza na mahitaji yako na ya mchepuko hapo. Lazima ufe mapema.
Nimeshangaa pia, maana kuna watoto huzaliwa wakiwa negative hali ya kuwa wazazi wote wawili ni positive, kama shahawa zingekua zinaambukiza basi hiyo isinge wezekana.Mkuu aliekwambia Shahawa zinaambukiza Ukimwi Nani siwanasema damu sindo inambukizaga Ukimwi au tunapigwa
🤣Kozeza Umo
sio shahawa,Ila zile maji maji labdaMkuu aliekwambia Shahawa zinaambukiza Ukimwi Nani siwanasema damu sindo inambukizaga Ukimwi au tunapigwa
Tusiache vitendea kazi kama vilainishi ili tusichubuke maana unaweza kumzibua mtu chemba lazima zana ziwe timamuNi jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Mm nimekalilishwa damu ndiyo inayo ambukiza Ukimwi sio majimaji ya ukeni wala manii mchubuane damu iingie Ukimwi ndo unaanzie hapo km mmoja Kati yenu anangoma ndo ivo au mkuu hujaskia MTU anangoma lakini anapata mtoto negative na salama.sio shahawa,Ila zile maji maji labda
hii elimu bana bado wengi hatuijui vzr ,mmoja na mm,Ila unaambiwa deep kisses (denda) unaweza kuambukizwa ,Sasa Yale si majimaji ya mdomoni!?,ninavyojua shahawa huwa hazpati maambukizi ,Ila Yale maji ambayo huwa yapo ukeni hata Kama ame relax yaani hafanyi mapenzi ,hayo huwa na virus,hivyo ukiingia mwanaume na ukawa na michubuko uumeni Basi Yale maji ya uke yakiingia au yakisugua sehemu ya uume yenye kidonda au mchubuko hapo unaweza kuambukizwa!!Mm nimekalilishwa damu ndiyo inayo ambukiza Ukimwi sio majimaji ya ukeni wala manii mchubuane damu iingie Ukimwi ndo unaanzie hapo km mmoja Kati yenu anangoma ndo ivo au mkuu hujaskia MTU anangoma lakini anapata mtoto negative na salama.
Usiwapotoshe watu UKIMWI UPO na utaendelea Kuwepo muhimu ni kujikinga na kuwakinga wengine wasipate maambukiziNi jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.