Wanaume wasioelewa somo

Wanaume wasioelewa somo

NIMPENDENANI

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
6,114
Reaction score
5,397
Habari za Mchana wana MMU,

Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake, basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na amekua kila anapokua na shida hata kama
yupo wa kumsaidia nilazima aje kazini kunitafuta ,nikaanzisha kua akija wamwambie sipo, sasa Boss wangu
anajitia haelewi somo hata wenzangu wakimwambia hayupo anapiga kwa boss na boss ananiita mbele
yake mpaka natahayari,nimemwambia nimeolewa nna watoto4..

Anasema mungu akuweke lakini nifikirie na mimi, leo kaniletea cm iPhone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee iwe ni mimi tuu nakupigia manake akipiga cm nakua sipokei simu zake.

Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....
hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie
nakosa raha na huyu mbaba.
 
Habari za Mchana wana MMU

Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake,basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na amekua kila anapokua na shida hata kama
yupo wa kumsaidia nilazima aje kazini kunitafuta,nikaanzisha kua akija wamwambie sipo,sasa Boss wangu
anajitia haelewi somo hata wenzangu wakimwambia hayupo anapiga kwa boss na boss ananiita mbele
yake mpaka natahayari,nimemwambia nimeolewa nna watoto4..
Anasema mungu akuweke lakini nifikirie na mimi,leo kaniletea cm Iphone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee
iwe ni mimi tuu nakupigia manake akipiga cm nakua sipokei simu zake.

Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....
hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie
nakosa raha na huyu mbaba.........​
 
Shosti, hiyo baba ame fall na kuna wanaume wengine hawaelewi somo, na huyo boss inaelekea kuadii.
 
Shosti, hiyo baba ame fall na kuna wanaume wengine hawaelewi somo, na huyo boss inaelekea kuadii.

Nadhani atakua anajua manake wafanya kazi wenzangu wakimwambia nimetoka au niko kwenye mkutano ili akate tamaa akimpigia boss bila kuchelewa ataniita ebu mpigie simu mr XYZ anataka
umsaidie kitu kuna siku nilimpa mfanya kazi wenzangu ampigie,babu yule alimwambia kwani wewe ndio uloambiwa unipigie? rudi tena kachukue maelezo vizuri kwa boss wako, ikabidi nipige mimi na akiongea hataki kukata simu....
 
Ingia mzima mzima hapo, kama nakuona vile unahamia kwenye nyumba yako mpya kule Bunju !!!! Halafu na hilo gari vipi ?
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.
 
Nakuona unavyochukua ukimwi na kuupeleka nyumbani. Wafikirie wanao, mbona bado ni wadogo! Hujui kusema sitaki?
 
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.

Ubarikiwe. Heri tumbo na titi ulilonyonya, wa aina yako wamebaki wachache. Nilitaka kuona msimamo wako ni nini kuhusu uchepukaji na waume za watu, lakini hiyo iphne 6 umepokea au umeikataa ?
 
Nakuona unavyochukua ukimwi na kuupeleka nyumbani. Wafikirie wanao, mbona bado ni wadogo! Hujui kusema sitaki?
wallah laitani ungejua nikiasi gani nawapenda mwenyezi mungu ndio shahidi,na ataninusuru inshallah..
 
Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.
 
Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.
Apana dada siwezi,nimekinai siwezi sina nyingi lakini Alhamdulillah simu sioni kama ni chamana kuliko Heshima yangu..
 
Sasa mtu huwezi kusema "hapana" tena ya kumaanisha, unatarajia nini?
Mkuu nimemwambia lugha zote mpaka nimemwambia nampenda sana mumewangu hakuna kitu hanipi na am happy kwelnye ndoa yangu,jibu kanambia hawezi kunipenda mumewangu kama anavyo nipenda yeye sasa unadhani mzima huyo mtu?
 
Inawezekana kabisa huyo mzee anataka kupendwa tu si lazima ngono,yaani mtu asikupende basi cha kwanza kufikiria ni ngono!Naamini kabisa kuwa wazee wengine wanakuwa wanakosa mapenzi kwenye nyumba zao hivyo inawezekana kabisa akawa anataka tu umpende,sema nae ujue kama ni mvua chu.....ndio uchukue uamuzi.
 
Hahahaaaaa kweli wewe ni NIMPENDENANI.. vipi Iphone umepokea? Jibu ninalo.
Kinachokusumbua wewe ni UMRI wake mkubwa sana au ni NIA na Nadhiri yako kwako mwenyewe, umpendaye n.k?

Tuanzie hapo kwanza.

Habari za Mchana wana MMU leo kaniletea cm Iphone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee iwe ni mimi tuu Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie nakosa raha na huyu mbaba.........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom