Mimi ni mrefu mweupe(ingawa sipendi kusikia ivo) siwezi kusema kuwa naringa ila I never settle for less than what I deserve, Afu siyo kwamba tunaringa but sometimes tunagundua kuwa demand yetu ni kubwa kuliko.....wengine tunasumbuliwa na school girls mpaka wale wenye umri wa mama zetu, what do you expectπ??
Unakutana na Manzi usafi ziro, kitandani ziro afu bado anataka pesa zangu teh teh teh.....Bora unione mwanaume suruali tu....Ngastukale na machale kundesaππ