Wanaume warefu weupe

Daahhh naona umeamua kumdhalilisha mwenza wako....unataka dushe au pesa
 
Usikute na ww unapenda ungekuwa na Mtt mrefu mweupe
 
Wahusika utawajua tu katika comments ndo mbadilike sasa hivo vitabia haipendezi na tabia nyingine imeongezwa kuwa ni washikishwa ukuta polen sana
 
Uo Utafiti wako umeufanyia wapi?Kwa muda gani?Is It Scientific?O You just written Without Any Proof &Evidence.!Tupe respondents wako na wapi umepata Data,.Msije ifanya Jamii Forum Ikashuka Thamani Kama facebook
Bila shaka wewe ni mweupe na mrefu!
 
Mwanaume unajionaje mzuri bwana? mwanaume kazi unakuta jitu linaingia kwenye shindano la mahandsome oooh my God wataolewa hawa
 
Ulimkopesha nyapu? Hili povu sio la nchi hii.
 
Lazima wajikute kama mwanamke unawashobokea..
We subir utongozwe tuu
 
mleta uzi una personal problems na na wanaume weupe,, sijui walikutenda sana au vp!!! hakuna uthibitisho wowote kuhusu tuhuma hizo ulizotaja, zaidi ni tabia "personal characters/traits" ambayo haina uhusiano na rangi ya mtu!
 
point
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…