Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,755
Meseji sent.... Najua sasa hivi kalala... Ila akiamka ataisoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
sasa wazungu nao ni weupeHapanaa wazungu hawana hizo mambo naongeleo watz
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na utafutaji pia wengi wao wana tabia za kike yani unakuta mwanaume mmbeammbea ana vimisemo vya kike na tena kitandani ni zero wenyewe ni vua nichomeke kwa mnaofahamu mtaungana nami.note;sio wote ila asilimia kubwa wapo hivo.
Angesema Tetesi ingeleta maana zaidiNi bora ungesema ni uchunguzi. Utafiti ni kitu kikubwa.