Sijui ni uhaba wa fedha January au ni kwa sababu ya ligi ya Uingereza.......Ni furaha sana kukuta lundo la vijana wamejazana wakiangalia mpira.... na amini kwa kiasi kikubwa big match huwa ziazuia big match nyingine ambazo ni nadra kuonekana hadharani
Kwa hili pia vijana wengi huwa wananusukika katika majanga..............hongereni sana vijana......pumzikeni popote pale mlipo na mwategemwea kulijenga taifa.........
Nawasilisha