I great you all
Dini hizi kubwa mbili kupitia vitabu vyake vile, zinasisitiza kujisitiri kwa mwanamke, na hasa wakristo ambao wamekua na tafsiri tofauti juu ya kitabu chao. Tena unakuta mdada anavaa nguo zimuachazo wazi sehemu kubwa ya mwili eti anaenda kuabudu, ukimwambia alivyovaa si sahihi atakwambia wakati uliopo ni tofauti na huo unaouzungumzia. Mwanamke ameambiwa ajisitiri, tena ameaswa kutovaa yampasayo mwanaume na vivo hivyo mwanaume, mwanaume ni utukufu wa Mungu na mwanamke ni utukufu wa mume wake, mwanamke asimuoneshe nywele mtu ila mumewe na akinyoa, na mwanaume ukifuga nywele zikawa ndefu ujifunike wakati wa kusali.
Wandugu, tumrudie Mungu ili mambo yetu yakae sawa, mara Tsunami, mara flight 370.