wanaume wanene

Status
Not open for further replies.
kwi kwi kwi kwi kwi miss chagga i will take care ya billi zako

ukwel ndo huo mwanaume mnene sana duuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mnene?
Au bonge?
Walikuletea zereu?
 
habarini wanammu,eti ni kwa nini wanaume wanene huwa wanadharauliwa sana na wanawake?


Kakuambia nani? Mbona kuna wengi tu wanapapatikiwa sana na wanawake mfano kapteni John Komba na wabunge wengine lukuki, hata hapa JF kuna kibonge fulani naogopa kumtaja jina naye anapapatikiwa sana na mademu humu.
 

Mwee!!!
 

Teheeee bibie sidhani kama umeacha kitu lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…