Unajua kuna tofaut kubwa kati ya mtu kuwa mwembamba(model) na kuwa na afya mgogoro(kukonda). Watu wengi waliokonda wanapenda kujifarij kuwa wao ni wembamba hivyo ni rijali zaidi kwenye mapenzi kuliko wanene, kumbe sio kweli kukonda kwao hakuongezi chochote kwenye performance(sex) badala yake hugeuka kero kwa kukosa body stamina kunakotokan na sababu za kukonda kwao kama magonjwa,matumizi ya madawa ya kulevya na udunifu wa chakula cha kutosha.
NB: Wanaume wembamba wanatakiwa wawe na afya njema ambayo inaendana na nguvu za mwili ambazo hata mtu mnene anazo,kinachowafanya wanaume wembamba kuonekana bora zaidi kwenye suala la mapenzi ni kwamba wao ni flexible wanaweza kupinda kulia au kushoto juu au chini ilimradi wamridhishe mwanamke, sasa kwa hawa ndugu mabonge kuna baadhi ya stail hawawez kuzitumia kutokana na body structure yao.. kitu kama kitambi ni kikwazo tosha kumfanya mwanaume apitishe mashine vizuri kwa mwanamke hasa huyo mwanamke akiwa zoba kitandani(hajishughulishi).