MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
we unazo??????:frown::frown:Hivi DA, wanawake huwa hawana tamaa za kimwili eeeeeeh?
we unazo??????:frown::frown:
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Lakini MJ1, huyu binti mpaka anasettle kama unavyosema, si atakuwa ameshatembea na msururu wa wanaume au??
blanket statementshivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Dena my new friend.....unaweza nifafanulia uyeyushaji kwenye sita kwa sita unamaanisha nini?
mna pozi sana mabinti ndio maana vidume vina hasira na nyie..............
Hamjatulia na umapepe wenu
hahahahaah .....huu unyanyapaa huu sijui jamaa wakimbilie wapi....Unakutana na kibamia (kidogo) hakikufikishi mahala pale kaka suluhisho ni kutimukia mbali aahhh Babu taratibu eehhh
Unakutana na kibamia (kidogo) hakikufikishi mahala pale kaka suluhisho ni kutimukia mbali aahhh Babu taratibu eehhh
hahahahaah .....huu unyanyapaa huu sijui jamaa wakimbilie wapi....
hahahahaah .....huu unyanyapaa huu sijui jamaa wakimbilie wapi....
Kwahiyo wenye vibamia wanaadhibiwa kwa kukosa wapenzi?
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
Lakini MJ1, huyu binti mpaka anasettle kama unavyosema, si atakuwa ameshatembea na msururu wa wanaume au??[/QUOTE
kuuliza huku si maana ya kuwa nishatembea na wanaume lukuki hapana ni vitu ambavyo vipo ingawa ishanitokea mara moja bt nina marafiki kibao pia washapata tatizo hili na ndo mana nikauliza,umenipata bacha nipo makini sana