Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,884
- 155,866
hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
hivi hamchoki kuzungumza hayahaya kila siku?

Nashindwa kuelewa unawaongelea viumbe gani, maana unaowapa vya kunyonga na vya kuchinja ndo haohao wanaume, halafu tena unawanena kwamba ni viumbe hatari. Ingekuwa vema ukawa mahsusi ukasema, mathalan, mumeo ni mubaya, John ni hatari Juma ni Powa. Lakini ukiwalaumu wanaume inamaana utahitaji msagaji.
Umenena la maana sana.
all these days i thought you were a man! damn.....
SI kWELI NA HAYO NI MAWAZO YAKO NA SIJUI UMEFANYA WAPI HIYO RESEARCH LABDA WEWE MWENYEWE,MIMI NAAMINI TUPO WNAUME WAAMINIFU KWENYE NDOA ZETU TUNAWAHESHIMU WAKE ZETU NA KUWAPA HAKI YA NDOA KILA WATAKAPO ,NA PIA NAAMINI WAPO KINA MAMA WENGI SANA AMBAO WANAPENDA NGONO KUPINDUKIA WAO WAKO TAYARI KUWAPA MTAJI VIJANA WADOGO ILI WAWAFIKISHE KWENYE MAPENZI WAKO TAYARI KUUA WAUME ZAO ILI WAISHI NA DAMU CHANGA NA WAKINA DADA WENGI WENYE KAZI NZURI NA MAISHA MAZURI NDIO MALAYA WAKUBWA HAPA TANZANIA WANAWANAUME WANENE NA WEMBAMBA WANA WANAUME WAREFU NA WAFUPI WANA WAZEE NA VIJANA NA UKIENDA KWENYE KUMBI ZA STAREHE WANAENDAGA WENYEWE ILI WAWAPATE WA SIKU MOJA,WANA WAUME ZAO NA WENGINE WANA WACHUMBA WAKUDUMU ILA NDIO TABIA ZAO,UKIENDA PALE KONA BAA NA JOLY CLUB WANAOJIUZA NI WAKINA MAMA NA WASICHANA AMBAO WAMEAMUA KUFANYA UMALAYA KAZI.ACHA UNAFKI WANAUME WENGI WAMESHTUKA NOW DAYS MTU AKIOA ANAAMINI KWENYE NDOA YAKE NA ANATULIA NYUMBANI ISSUE NI KINA DADA.Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
Kweli kabisa. Wengi wao wanadai ngono ni kama chakula. Unakula kila unapojisikia na huwezi kula chakula cha aina moja daily.
Nyie wanaume nyie..!!
hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua
Mkuu una uhakika hiyo sifa ni kwa wote au umegeneralise bila statistics?Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
tuna wanaume aina mbili mkuu... labda he will come out and declare where he standsall these days i thought you were a man! damn.....