Wanaume wanapenda ngono kuliko wanavyopenda wake zao

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,448
154,291
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
 
Kweli kabisa. Wengi wao wanadai ngono ni kama chakula. Unakula kila unapojisikia na huwezi kula chakula cha aina moja daily.
Nyie wanaume nyie..!!
 
hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua
 
na ndio maana kwa hali hii unayoisema, MPANGO WA NJE IS THERE TO STAY!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.

Bujibuji, ni kweli na hakuna ubishi kwamba wanaume wanapenda sana tendo la ndoa kuliko kitu kingine chochoe (kwangu haswa) ila bahati mbaya sio wanaolifaidi sana. Hata hivyo inapofikia kuwa kombakomba kama gari la kuzoa takataka basi huo ni ukichaa. Hata kama tunapenda sana ngono ila tunatakiwa kutumia akili na busara kuchagua kitu kinacholiwa na kuacha vile visivyolika. Na baada ya kuingia jela (ndoa) ni wajibu wetu kutulia na wake zetu as much as we can. Ndo maana niliwahi kusema kuwa sisi wanaume ndio tunaochangia kuharibu ndoa zetu kwani wakati mwingine tunafanya vitu ambavyo vinawachefua wake zetu hadi wanaona maisha hayana maana tena. Kwa hiyo inatubidi tujitahidi kujitofautisha na viumbe wengine ..kuku, bata, mbuzi, mbwa, kondoo, ng'ombe na hata nguruwe!

Babu DC!
 
hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua

Nashindwa kuelewa unawaongelea viumbe gani, maana unaowapa vya kunyonga na vya kuchinja ndo haohao wanaume, halafu tena unawanena kwamba ni viumbe hatari. Ingekuwa vema ukawa mahsusi ukasema, mathalan, mumeo ni mubaya, John ni hatari Juma ni Powa. Lakini ukiwalaumu wanaume inamaana utahitaji msagaji.
 
Umenena la maana sana.
Nashindwa kuelewa unawaongelea viumbe gani, maana unaowapa vya kunyonga na vya kuchinja ndo haohao wanaume, halafu tena unawanena kwamba ni viumbe hatari. Ingekuwa vema ukawa mahsusi ukasema, mathalan, mumeo ni mubaya, John ni hatari Juma ni Powa. Lakini ukiwalaumu wanaume inamaana utahitaji msagaji.
 
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
SI kWELI NA HAYO NI MAWAZO YAKO NA SIJUI UMEFANYA WAPI HIYO RESEARCH LABDA WEWE MWENYEWE,MIMI NAAMINI TUPO WNAUME WAAMINIFU KWENYE NDOA ZETU TUNAWAHESHIMU WAKE ZETU NA KUWAPA HAKI YA NDOA KILA WATAKAPO ,NA PIA NAAMINI WAPO KINA MAMA WENGI SANA AMBAO WANAPENDA NGONO KUPINDUKIA WAO WAKO TAYARI KUWAPA MTAJI VIJANA WADOGO ILI WAWAFIKISHE KWENYE MAPENZI WAKO TAYARI KUUA WAUME ZAO ILI WAISHI NA DAMU CHANGA NA WAKINA DADA WENGI WENYE KAZI NZURI NA MAISHA MAZURI NDIO MALAYA WAKUBWA HAPA TANZANIA WANAWANAUME WANENE NA WEMBAMBA WANA WANAUME WAREFU NA WAFUPI WANA WAZEE NA VIJANA NA UKIENDA KWENYE KUMBI ZA STAREHE WANAENDAGA WENYEWE ILI WAWAPATE WA SIKU MOJA,WANA WAUME ZAO NA WENGINE WANA WACHUMBA WAKUDUMU ILA NDIO TABIA ZAO,UKIENDA PALE KONA BAA NA JOLY CLUB WANAOJIUZA NI WAKINA MAMA NA WASICHANA AMBAO WAMEAMUA KUFANYA UMALAYA KAZI.ACHA UNAFKI WANAUME WENGI WAMESHTUKA NOW DAYS MTU AKIOA ANAAMINI KWENYE NDOA YAKE NA ANATULIA NYUMBANI ISSUE NI KINA DADA.
 
hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua

Masa uko wapi unitafsirie hapa ..........huyu mama anatoa vyaluchinja nje ya ndoa yake .......
 
Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.
wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.
Mkuu una uhakika hiyo sifa ni kwa wote au umegeneralise bila statistics?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom