Wanaume wanapenda kupikiwa vizuri

love more than100

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Posts
2,061
Reaction score
715
Most of the man wanapenda kupikiwa chakula kizuri haswa na wake zao na wanajisikia raha zaidi kula chakula alichopika mke.

Pia wanapenda usafi na uwekwaji mzuri wa mazingira safi kila saa 24/7 fo 365 of the year.

Sasa ukute mke mvivu flani akipka ndio uuuuwiii ukila chakula unafanya kuchagua kitunguu,nyanya,karoti,hoho,bilinganya yaani yamesimama wima kama ngogwe & bamia, chakula hakina test mtu mpk anasema naomba chumvi au pilipili&ndimu,limao yaani njaa anayoo ila msosi uko testless so anautafutia namna.

Jamani kwanini wanawake mlioko majumbani haswa mlioolewa hamjui kupikaa vizuri?

Chakula hakibadiliki dizaini kutwa wali nyama,viazi nyama,ndizi nyama,wali maharagwe,ugali chuzii na formla ya mapishi daily ni 1 mpk kinaboa. Mbona vibanda umiza kwa mama lishe wanapika vizuri nyie ni nini?

Mwanamke umeolewa ndio ukiwa na beki 3 ndo baaax tena kazi zooote zake mpk kumuandalia mumeo nguo nayeye ndio anaijua kama chafu au safi,inavishikizo vyote ama laaa,zipu nzima au imekatika,mifuko iko salama au imetoboka? sasa mume akikuolea huyo beki 3 unahaha nini wakati project imekushinda kwa nini asipewe anayeiweza?

Mwanamke mchafuu alafu unajidai "jamani nyie acheni tu huyu msichana niliyenaye si msichana ni bomu mchafuu, huo uchafu kauleta toka kwao wkt wee mwenyewe mchafu mpk jua linazama 9t dress ujavua ni umbea tuu na makelele kama wale wahindi wa mwaka 1947?

Alafu wala ushtuki kuweka nyumba yako sawa na mpangilio mzuri eti kisa ninashepuu?kanikuta bikraa,sina michepuko,mama&baba mkwe wananipendaa uuuuwiii utaishia kumuona mume jina akija kwangu.
 
Siku hizi kutunza nyumba, imegeuka Moja ya "hobby"
 
Mkuu umeeleweka vyema. Hapo hata mm huwa ni muumini wa wanamama wa aina hiyo
 
Ujumbe murua kabisa. Haujakosea, ndoa inataka kutunzana (nae mume ana majukumu yake).

umeharibu tu hapo mwisho. Kwako atakuja, nyumba ndogo ni ndogo tu mamii, hadi ije kuwa kubwa inahitaji ushirikiano wa ile kubwa kabisa. Kwa hiyo cheza kwa stepu mdogo wangu.
uuuuwiii utaishia kumuona mume jina akija kwangu.
 
tupe maneno yetuuu mwanamke kupika hujui inahusuuu..shuka na mume mnalalia wiki nzimaaa hhheee???
 
aaaahhhh nilikuwa sijakusoma...kumbe ni tangazo la bashara....

Mnaotaka nyumba ndogo njoeni pande hizi....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…