illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
Kwa kweli inanikera sana wewe mbaba mtu mzima au wewe kaka unatembea na mwanafunzi tena wa Secondary, bora wa chuo ni mtu mzima.
Halafu wewe wewe hupendi / unaumia mwanaume mwingine atembee na binti yako ambaye yupo Secondary.
Hivi unajifikiriaje hasa kuifungua hiyo zipu kwa binti mdogo ambaye ni kama wako.
Hufikirii kuwa utamuharibia concentration ya masomo. Unapendaje kufanyia wana wa wenzako wkt wewe hupendi wako wafanyiwe?
Laana tu