Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

Status
Not open for further replies.
Binafsi sitamani hata kuisikia bikira.

The more experienced the better.

Achana na mwanamke anayejua nini anafanya kitandani, ni mtamu kuliko kawaida.

Bikra is useless in my opinion. Imekaa kiukandamizaji na objectification ya mwanamke kuwa thamani yake inapungua kila anaposhiriki tendo.

Also, size ya uke haiwi influenced na frequency ya mwanamke kushiriki tendo.
 
Unapokua huna wanachokitaka watu unatafuta confidence zone!
Lakini kazi ya kuhangaika na bikira ngumu kinoma. Kwanza mnahangaishana mpaka ajue mchezo, bado atakung'ata.!!
Akuparue na kucha!! Huu mchezo niliachaga zamani. Ni mwendo wa kupambana na wakongwe tu. Unamnunulia bia anajua kinachofuata.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo vurugu tumewaachia watoto wa sekondari mkuu!

Sisi watu wazima tunajua kifuatacho ITV ni nini
 
Sema kama umetolewa Bikra nje ya Ndoa... Bado umetolewa unamiaka 15 ( Umri ambao unaendeshwa na homoni sio akili) bado umeolewa bikra nakajamaa kako hakana mbele wanyuma,, Utampendaje????
Time waster!

please don't waste my time!

Kama ungekua observer mzuri, ungeshajua wanawake wengi hawawapendagi waliotoa bikira zao sembuse kuolewa nao?

This is my last post to you! bye
TOLEWA BIKRA NA MWANAUME WAKO NDANI YA NYUMBA YAKO.

Kisha utasema kua humpendi au lah.
 
Kuhusu kutendwa hapo sio. Unakuta msichana yuko na boyfriend na ameshampa masharti ya kutogusana lakini mwanaume kichomi. Kutendwa na sexual relationship are inversely proportional
Mschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani. Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.

Mschana B ametolewa Bikra namiaka 16 , amekuja kuolewa na Miaka 28, hapo katikati amekua na wanaume tofaut tofaut 4--8 ..nakila mwanaume aliishia kumchezea na kumuacha.

Katika hawa wawili, ni yupi aloumizwa kihisia kiasi cha kuchukia au kuathiri maisha yake ya baadae kimahusiano?

Ulishwahi sikia Bikra anasema 'Sitopenda tena? au nawachukia sana wanaume?? Au Sasa hizi siwez penda ,au siku hizi naishi nao wanavyotoka...au Akizengua namie nazengua?

Ulishwah sikia izo kauli toka kwa bikra? Hii inamaana gani? Matokeo yake, Wanawake wengi waloumizwa kihisia na wanaume walotembea nao, huja kuishia kua Mguu ndani, mgumu nje, mwisho nmejikuta mnawapa mapenzi nusu nusu wanaume wenye udhat kwenu. Na hatimaye wanaume hao hujiona kama hawapendwi nawao hujikuta wanajiondoa taratibu.

Mbona simpo tu.
 
Feminists wanafurahisha sana, mbona kuna vitu vipo wazi lakini hawataki kuvielewa. Mwanamke hauwezi kufanya umalaya ujana wako wote alafu utegemee ukiolewa upewe heshima sawa na mwanamke aliyejitunza ujana wake wote (bikra).
You can't eat your cake and have it.

Feminists inabidi mkubali tu kwamba kuna vitu hamuwezi kuwa sawa na wanaume, mwanamke akitembea na wanaume wengi anakuwa labelled Malaya au cheap which is negative, on the flip side mwanaume akitembea na wanawake wengi anaonekana rijali which is positive.

Mwanamke kama unaweza kujitunza jitunze kwa sababu faida ni nyingi kuliko hasara.
 
Usifananishe bikira na mambo ya kipuuzi

Yes wengine hatuzitaki, hatutaki usumbufu tunafata exprienced players wenzetu lakini mada yako ulivyoiweka na baadhi ya reply zako ni kama kutokua na bikra ni ka kitu cha kawaida hivi fulani, hapa uzinzi sjui kutafunwa kawaida tu etii?

Hata binti yako mdogo ni sawa tu akiipoteza (kujihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi mapema)

Kwa ulimwengu huu inaweza ikawa hvyo kawaida kwa nyie watu hivi narudia naweza nikawa muhuni napenda waliotumika but mwanamke bikra namuheshimu sana.

Anyway niishie hapo ila bi mdashi Leo umeongea pumba no hard feeling ila huo ndo ukweli usikasirike tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mschana A bikra alokuja kutolewa uschana wake ndoani... Yeye mchumba wake wali kua wanazenguana nakugombana.

Mschana B ametolewa Bikra namiaka 16 , amekuja kuolewa na Miaka 28, hapo katikati amekua na wanaume tofaut tofaut 4--8 ..nakila mwanaume aliishia kumchezea na kumuacha.

Ktk hawa wawili, ni yupi aloumizwa kihisia kiasi cha kuchukia au kuathiri maisha yake ya baadae kimahusiano?

Ulishwahi sikia Bikra anasema 'Sitopenda tena? au nawachukia sana wanaume? Au Sasa hizi siwez penda ,au siku hizi naishi nao wanavyotoka...au Akizengua namie nazengua?

Ulishwah sikia izo kauli toka kwa bikra? hii inamaana gani? Matokeo yake, Wanawake wengi waloumizwa kihisia na wanaume walotembea nao, huja kuishia kua Mguu ndani, mgumu nje , mwisho nmejikuta mnawapa mapenzi nusu nusu wanaume wenye udhat kwenu. Na hatimaye wanaume hao hujiona kama hawapendwi nawao hujikuta wanajiondoa taratibu.

Mbona simpo tu.
Mwanamke kuwa bikra haina maana hajadate mtu mwingine zaidi ya mumewe, anaweza kuwa nae na wanaume wengine ila mahusiano yao hayakuhusisha ngono, kwa hiyo kama ni kuumizwa wao pia wanaumizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom