Wanaume wanaopenda wanawake wazuri, dada zao wabaya

Bora uwe na mwanaume umewazidi muonekano wifi zako. Ndugu wa mwanaume nao wanasemaga ujue. Utasikia mwanamke mwenyewe mbaya kaka sijui kafuata nini pale. Ila ukiwa mzuri wenyewe wanakua proud na wewe na kumsifia kaka yao kaleta chombo.
 
huwa nashangaa sana unakuta mwanaume anataka mdada mzuri,mwenye sura nzuri ,shape na wowowo , na waliosoma sijui degree etc hapo ukicheki dada zake wabaya shapeless wameolewa na mahari ndo iliyomsomesha pia aliishi kwa shemeji yake kabla hajatoka.
tupeni mawe

Hapana sio kweli!!
 
Bora uwe na mwanaume umewazidi muonekano wifi zako. Ndugu wa mwanaume nao wanasemaga ujue. Utasikia mwanamke mwenyewe mbaya kaka sijui kafuata nini pale. Ila ukiwa mzuri wenyewe wanakua proud na wewe na kumsifia kaka yao kaleta chombo.
ILO kweli kama wadada wana mishep unawatafutia mwenye sura Kali hata akiwa na short air bado anawakimbiza basi Kila saa utasikia yaan Wifi ananyoa Lakin bado wanataman kujiselfie Nae..... Wenyewe wakinyoa mavichwa yanakuwa kama mitofali au matrekta yanaenda kulima...... Mimi nimewanyoosha dada zangu kwenye sura mtoto akinyoa aweke na wave hahahahhah utampenda.....
 
Kunanyimbo inaimbwaga hivi!.

Uzuriwamwanamke siouremboooo tabiaaaa, uzuriwamwanamke siourembooooo tabiaaaaa.

Kumbekuna uzuri, na urembo.
 
Daah umbo lako lina mvuto sana ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hayo ya mvute yapi wakati nimekuuliza kama na yeye ni bonge kama mie dadako. Sema nimekumiss sana. Huyo wifi anaekuficha akija mjini mwambie ntamtia fitna aachike shauri yake.
 
ILO kweli kama wadada wana mishep unawatafutia mwenye sura Kali hata akiwa na short air bado anawakimbiza basi Kila saa utasikia yaan Wifi ananyoa Lakin bado wanataman kujiselfie Nae..... Wenyewe wakinyoa mavichwa yanakuwa kama mitofali au matrekta yanaenda kulima...... Mimi nimewanyoosha dada zangu kwenye sura mtoto akinyoa aweke na wave hahahahhah utampenda.....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Wifi shurti uwe mzuri huo ndo ukweli. Unaeza usiwe mzuri basi hata kujipenda kidogo napo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hayo ya mvute yapi wakati nimekuuliza kama na yeye ni bonge kama mie dadako. Sema nimekumiss sana. Huyo wifi anaekuficha akija mjini mwambie ntamtia fitna aachike shauri yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naja soon
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hayo ya mvute yapi wakati nimekuuliza kama na yeye ni bonge kama mie dadako. Sema nimekumiss sana. Huyo wifi anaekuficha akija mjini mwambie ntamtia fitna aachike shauri yake.
Jiandae kwenda kuleeeee[emoji121]
 
Bora uwe na mwanaume umewazidi muonekano wifi zako. Ndugu wa mwanaume nao wanasemaga ujue. Utasikia mwanamke mwenyewe mbaya kaka sijui kafuata nini pale. Ila ukiwa mzuri wenyewe wanakua proud na wewe na kumsifia kaka yao kaleta chombo.
_20170923_144320.JPG
 
Back
Top Bottom