Wanaume wanaopenda kununa

Kwa MPALANGE dezo tu au Kuna malipo fulani🤣😂?
 
Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii huwa hawawezi hata kuishi kwenye maisha ya ndoa.

Acheni kununanuna ovyo wababa
Unatukosea sana Wanaume unapotuweka kundi moja na Wavulana!

Na hili kuweka kumbukumbu sawa, ningependa kukufahamisha kwamba, hata watu kama Le Mutuz, nao wapo kundi moja na akina Mbosso... yaani Wavulana!
 

Alikutongozaje kwa Tabia hiyo?
 
Jamani ...jamani.....muhuni anafundisha Porn kwa maandishi
 
Kumbe unataka kwa mpalange alafu akuchekee
 
Huyo boyfriend wako alikua na girlfriend wake Ndio mana ikifika week end we alikua anakununia ili aenjoy na girlfriend wake
Naunga mkono hoja,

Mi mwnyw enz za ujana nliwahi kufanya ivyo sana kwa mwanamke nsiempenda.

Ni kununa TU,
ili upate kisingizio Cha kutulia na wako wa moyoni bila bughudha

TATIZO MTOA MADA HAJATUJUA WANAUME TULIVYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…