Samahani! Hivi show ya kibabe/kusimamia kucha ni bao zisizo pungua ngapi?Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Yaani wewe unajitaja kabisa? eti mimi huwezi noipiga kagoli kamoja,lazima unipe show ya kibabe,unatka usimamiwe kama baiskeli ya msukuma ili iweje?Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Shoo ya kibabe ikoje mkuu. Embu elezea tujifunze tusije kuwa tuna under perform...Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahaaaahaMada imeanzishwa na mwanamme wa Dar
hahahaa hao ndo wamekamilika sasa//Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?
Hawa ni wanaume au maroboti?
Ulikuwepo hapo zamaniNdio Maana MwenyeziMungu alisema '''kwa mwenye uwezo tuu ndio aoe wake wa 2 na kuendelea'''
Ni uwezo wa
1/kiuchumi
2/na haki ya tendo la ndoa
Km ww ni maskin maskn tu unabangaiza huwez kuwahudumia hapo huna kigezo
Na ukishindwa kuwagegeda wakarizika pia ni makosa
Zamani hii ilifaa sana hata mwanamke mwenyewe alitaman mumewe aongeze mke wapili kwakuchoka kugegedwa sana kila siku na nishow yakueleweka kwahyo wakiwa wawil anapata mda wa kupumzka na kufanya shuhul za kiuchumi bila uchovu na hata wake wenyewe walikuwa wakielewana
Lakin sikuhiz tunatamaa nyng uwezo hatuna wa kuwagegeda vya
kutosha wake zetu unaweza kuwa na uwezo wa kiuchumi ila uwezo watendo landoa ukakosa bora kuwa na mke mmoja tu wakizid sana wa2 km ww ni mtu wa tamaa na unapenda kugegeda usifanye uzinz njee ya ndoa ni bora ukaongeza mke
duh swali hilo!Ulikuwepo hapo zamani
Wakisoma hicho watajielewa kupitiliza. hicho kitabu ni hatariii.....Nnawashauri mtafute kitabu kinachoitwa The Perfumed Garden cha Sheikh Nefzawi, kinapatikana mtandaoni bure. Mjisomee mtajielewa.
Unatutamanisha ujue!Kuchapiwa ni siri yandani ata wahenga walisha sema kuchapiwa ni siri ya ndani kwa kweli wengi wenu huwa amturidhishi kabisa Mimi uwezi nipiga kagoli kamoja lazima unipe show ya kibabe [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Mara tatu kwa wiki ni nyingi au chache kwa mwanamke?Kuchapiwa hata ukiwa na mke mmoja atachapiwa tu ni tabia... wako wanaume wamejaaliwa kwa wiki wanahitaji mara zaidi ya tatu na mke hawezi atafanyaje? Ni kuongeza mke au kuchepuka
wanawake hawalingani kimaumbile wako wanaoweza mara tatu au zaidi na wako wanaoona ni nyingi pia uangalie na perfomance sio kifo cha mendeMara tatu kwa wiki ni nyingi au chache kwa mwanamke?
Mkuu hata mimi nishawahi kukaa chini nikafikiria hili suala, sio kwamba tunaingilia imani za watu, hapana, ila kiukweli naona kama hawa wanawake hawapati wanachostahili ipasavyo ukizingatia wimbi la wanaume wenye matatizo ya uzazi limekuwa kubwa sana. hata hivyo kiasili na kimaumbile mwanamke ana nishati kubwa sana ndani yake kuliko mwanaume hasa kimaumbile zaidi. sasa najiuliza hawa wanaume wanatimiza kweli majukumu ya kimaumbile ipasavyo? nauliza tu!
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao za kimwili?
Hawa ni wanaume au maroboti?
Kweli kabisa ulichosema nakuunga mkono 100%ukioa baki na mke wako usifanye uzinzi. Hata kama unafanya kazi sehemu tofauti na mkeo usiwe unachakachua huko. ukichakachua itakua haina maana unaposema kuoa wanawake angalau wawili eti watashindwa kuwahudumi wakati WEWE mwenyewe UNAO lakini sio RASMI na unapiga mzigo kama kawaida. JAMANI tuache unafiki.
SIINGILII Imani za watu lakini Mwanaume aliyekamilika mwanamke mmoja hatoshi.
Labda nyinyi wenzangu wa mikoani, eti anatosha?