Wanaume wanaongoza kwa kutovaa pete ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wanaongoza kwa kutovaa pete ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIQO, Feb 2, 2011.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia kwa makini kwenye vidole vya wanandoa utagundua kuwa wanaume wengi hawapendelei kuvaa pete za ndoa, huku wanawake wengi wanapendelea kuvaa pete hizo unakuta anazo mbili ya uchumba na ile ya siku yenyewe ya ndoa kwenye kidole.
  Je kwa nini wanaume hawapendi kuvaa pete za ndoa?
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Pete zinamaana kubwa sana katika mahusiano ya wawili wapendanao unapo amua kuiweka pembeni inaashilia nini?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naomba unisaidia kuani umhimu wa kuvaa pete...
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wanaume wengi hawapendi kuvaa pete hususan za ndoa,
  Nadhani shauri ya ukware ndo maana huwa hatupendi kuzivaa pete za ndoa na hasahasa vijana, ila kwa watu wazima huzivaa muda wote.
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mie automatically toka utoto wangu huwa sipendi kuvaa vitu mwilini kama bangili,heleni,pete au kubadilisha nywele kama mtoto wa kiume huwa naona sipo huru nikifanya mambo hayo kikubwa ninahisi wengi wanavua kutokana na either sio waaminifu kwa ndoa zao au hawapendi tu kwasababu wanaona mzigo mwilini
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mwenzangu pokea pete hii ni ishara ya uaminifu wangu ...................
   
 7. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuvaa pete ni ujinga! Babu yangu na Bibi yangu mpaka wanatangulia mbele ya haki ndoa yao ilikuwa na miaka 70 (sabini), lakini sikuwahi kuwaona wakiwa na pete kwenye vidole vyao!
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndoa ya wawili wapendanao,
  ipo moyoni mwao na Mungu Mwenyezi,
  pete ni ishara tu mkuu!!!!
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo hakuna umuhimu wa kuvaa pete?
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Baibo haizungumzii pete.

  Afu hayo mashindano yalifanyikia wapi?
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kuna jamaa yangu havai pete, alianza kutovaa baada ya miaka mi2 ya ndoa. kutokana na biashara zake anadai alikua hapati mashilikiano mazuri kwenye maofisi na watu mbalimbali(akina dada) kunasafari alikwenda nje ya nchi aliisahau pete bahati mbaya. mambo yalikuwa tofauti, ndio mwanzo wa yeye kuto kuvaa pete mara nyingi
   
 12. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wengine walitengenezewa mazingira ya kufunga ndoa, hawakupenda kuoa
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ngoja nikisaidie dada..........pete halisi iko ndani ya moyo wa mtu...hizi za vidoleni wala zisikupe shida........kuna kima dada/mama wameolewa na wanavaa hizo pete lakini wanatoka sana nje ya ndoa....... hali kadhalika kina baba/vijana.kuna wengine hawavai na hawafanyi upuuzi.
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bacha umesema kweli kabisa,
  Kama wewe sio mwaminifu toka moyoni mwako, huwezi kuwa mwaminifu kwa kuvaa pete.
  Afterall mbona mtu anakutokea na lipete likubwaaaaa la ndoa,
  Wala haogopi pete, vaeni msivae lakini UAMINIFU UTOKE MOYONI(Vaa hiyo pete ya uaminifu moyoni mwako)
   
 15. M

  Matarese JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Kula tano Obuntu, ni ujinga na kuiga kusiko na akili. Wala hakuna sehemu yeyote kwenye Bible inayotaka wanandoa wavae pete.
   
 16. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  umejitahidi sasa hivi umesoma na kuelewa na umechangia vizuri
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  sisemi watu waache kuvaa pete,
  watu waendelee tu kwa amani kuzivaa hizo pete,
  kwani ni ishara kuwa yupo kwenye ndoa, (ingawa siku hizi kuna wengine wanavaa pasipo ndoa)
  lakini hata wale wasiovaa na wako kwenye ndoa,
  mimi binafsi siwezi kuwashangaa, kwani
  ndoa ipo moyoni mwa mtu na wala si kwenye pete!!!!!!
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Bacha wewe umevaa pete ya ndoa?? Kama hujavaa ulipokea ya nini pale kanisani/Kwa RC.

  Si ungeiacha hapo kwa padri/mchungaji
   
 19. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Nimeivaa moyoni mwangu!!!!
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Huna lolote wakware utawajua tu Rose analijua hilo?
   
Loading...