Wanaume wanaojitambua bado wapo

Rijali !!
{ aRijalu Qawaamuna 3aLa Nisau } nafikiri hapo The men watajizindua !! lakini mwanaume halazimishwagi at all, ispokuwa huongozwa na Ke waliyotulia ambao hujulikana kwa hili { woman are behind every successful man } !

mwanamke ni mama,dada,binti,shangazi,bibi na shem!!
 
Hivi mapenzi ya kweli is a road to furaha ya kweli? Just thinking
 
Ni wanawake wachache sana wanaoongea kile wanachotenda. Sidhani kama ni kuekt, nadhani ni kutojitambua...
 
Mwarabu?, nahisi kakuonjesha extreme za tigo ukaona dunia yote ndo hiyo.

Usitukane wakunga......


utawajua tu.......mapenzi ni zaidi ya unavofikiria..think wise and be gentle
 
Ujumbe mzuri,,
Hapo japo sijui shilingi yake"
Bibie yupo anaeijua eeeeeeeenh!!!!
 
Sijasoma wala, anaongelea nini?

Uandishi ni jambo muhimu sana kwenye kufikisha ujumbe. Nimegundua kuna wengine walikuwa wanafeli si kwa sababu hawana point, ila mpangilio mbovu.

Nimeona tu miherufi mikubwa ikani-turn off kabisa.
Halafu ukafanya kituko cha mwaka kufanya maamuzi kwenye kitu ambacho hata hujasoma
Hili ni tatizo kubwa sana hapa
Update: Nimesoma baada ya kuona umebadili mwandiko walau na aya umeweka, hivyo sasa unatuvutia wasomaji. Kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha unapiga makelele (ul'ihamka)engine hatupendi kuhamkilwa.
Unakosea unaposema "unatuzutia" kwani inawezekana wengine walivutiwa hivyohivyo tu

Kwanini unadhani kila mtu anaeandika kwa herufi kubwa anakuwa anapuga makelele?

Huenda hata hizo sheria za huo uandishi unaousema hazijui!
 
hahaha is all about nonsense ,ushachezewa eti now nimepata mwarabu,bado sana LOVE is not a storytelling is a truefilling you experience.

afu hela imeingiaje hapo?
 
hahaha is all about nonsense ,ushachezewa eti now nimepata mwarabu,bado sana LOVE is not a storytelling is a truefilling you experience.

afu hela imeingiaje hapo?


utawajua tu.....
 
Ha ha ha, amerekebisha, kumbe kelele zangu zinasaidia.

Afu huyu Lara 1 kakufanyaje? Naona umefika bei kabisa.

we acha tu kwenye dunia ya malavidavi sterling anakuwa mateka, au hujaona dr wa karatu na ukali wake wote kwa maitarahamwe lakini kwa mtoto wa kihaya akohoi.
 
utawajua tu.....

unaweza ukawa pia huelewi ukahisi unajitambua kumbe la,niambie kiwango cha kujitambua ni kipi?kama wewe ndo haujitambui unapima vipi?kama mmekutana wote wazinzi msiojitambua?mapenzi ni nini?unapimaje sifa ulizotoa kwamba ni mtu kujitambua?ilikuwa kuna haja ya kutaja ethnity?mkoa?

GENTLES DO KNOW WHAT TO DO AND STAY WITH BRIGHT LADIES

about kitandani,pesa that is between you two sawa we mvamiaji
 
Halafu ukafanya kituko cha mwaka kufanya maamuzi kwenye kitu ambacho hata hujasoma
Hili ni tatizo kubwa sana hapa!

Komenti yangu ya awali ilikuwa kwenye uandishi tu, sio kwenye mada, kwa hiyo sikwenda nje ya lengo.

Unakosea unaposema "unatuzutia" kwani inawezekana wengine walivutiwa hivyohivyo tu

Kwanini unadhani kila mtu anaeandika kwa herufi kubwa anakuwa anapuga makelele?

Huenda hata hizo sheria za huo uandishi unaousema hazijui!
Kweli, inawezekana wengine hamjali lakini nahisi walau kuna mwingine anayekerwa na uandishi ule.

Kuandika kwa herufi kubwa inaonyesha kupiga makelele, hapa kama hajui inabidi atafute muda wa kujisomea namna ya uandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…