Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Mwanaume kama huyu je?
hmmmmn hapo!!!! aaaaa....
Mwanaume kama huyu je?
hmmmmn hapo!!!! aaaaa....
NIMEKUWA NIKIKUTANA NA WANAUME AMBAO HAWANA HESHIMA KWA WANAWAKE HATA UMNYENYEKEE VIPI..NA SIO HIVO TU BORA BASI HATA KITANDANI AWE VIZURI HAJUI KITU,ILA DHARAU NA JEURI VIMEMJAA HANA HESHIMA KWA WANAWAKE..MARINGO UTADHANI MWANAMKE,UNAMTUMIA MSG HAJIBU,SIMU HAPOKEI,..MIMI NIKADHANI NDIO WANAUME TULIOBAKIWA NAO HUKU DUNIANI JAMANN KUMBE NILIKUWA NAJICHELEWESHA..NIMEMPATA MWANAUME ALIEKAMILIKA WA KIARABU TENA WA TANGA..MWANAUME ANAJUA NINI THAMANI YA MWANAMKE..JAPO SIJUI HATA SHILINGI KUMI YAKE LAKINI MAPENZI ANAYONIPA NA HESHIMA ALIYONAYO NIPO RADHI KWENDA NAE POPOTE,NA MWANAUME MWENYEWE HANA UMRI MKUBWA KIIVO LAKINI ANAJITAMBUA...USHAURI KWA WANAUME HUMU NDANI...PESA NI CHACHU TU KATIKA MAPENZI ..WANAWAKE TUNAPENDA KUWA LOVED,HANDLED AND CARED HAYO MENGINE NI YA ZIADA TU.SHIDA NI KWAMBA TUNAISHI KWA EXPERIENCE AMBAZO WATU WAMETUUMIZA SANA..USHAURI KWA AKINA DADA WENZANGU USING`ANG`ANIE KWA MTU AMBAE UNAJUA HAKUPI THAMANI YAKO WEWE KAMA MWANAMKE ,ACHANA NA HUYO MTU NA USONGE MBELE HADI UTAKAPOMPATA YULE AMBAE ATAKUJALI NA KUKUTHAMINI.wanaume kamili wapo achaneni na wanaume wasumbufu ambao wapo kuumiza tu watu hawajui duniani walikuja kwa lengo gani...ni ushauri tu ..epuka kuumizwa fanya maamuzi sahihi.asubuhi njema
Kumbe mwawataka waarabu? ee !Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi..
na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu,
Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake..
Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio wanaume tuliobakiwa nao huku duniani jamani kumbe nilikuwa najichelewesha..nimempata mwanaume aliekamilika wa kiarabu tena wa tanga..
Mwanaume anajua nini thamani ya mwanamke..japo sijui hata shilingi kumi yake lakini mapenzi anayonipa na heshima aliyonayo nipo radhi kwenda nae popote,na mwanaume mwenyewe hana umri mkubwa kiivo lakini anajitambua...
Ushauri kwa wanaume humu ndani...pesa ni chachu tu katika mapenzi ..
Wanawake tunapenda kuwa loved,handled and cared hayo mengine ni ya ziada tu.
Shida ni kwamba tunaishi kwa experience ambazo watu wametuumiza sana..
Ushauri kwa akina dada wenzangu using`ang`anie kwa mtu ambae unajua hakupi thamani yako wewe kama mwanamke ,achana na huyo mtu na usonge mbele hadi utakapompata yule ambae atakujali na kukuthamini.
wanaume kamili wapo achaneni na wanaume wasumbufu ambao wapo kuumiza tu watu hawajui duniani walikuja kwa lengo gani...ni ushauri tu ..epuka kuumizwa fanya maamuzi sahihi.
Asubuhi njema
Hujampenda
Kumbe mwawataka waarabu? ee !
Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi..
na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu,
Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake..
Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio wanaume tuliobakiwa nao huku duniani jamani kumbe nilikuwa najichelewesha..nimempata mwanaume aliekamilika wa kiarabu tena wa tanga..
Mwanaume anajua nini thamani ya mwanamke..japo sijui hata shilingi kumi yake lakini mapenzi anayonipa na heshima aliyonayo nipo radhi kwenda nae popote,na mwanaume mwenyewe hana umri mkubwa kiivo lakini anajitambua...
Ushauri kwa wanaume humu ndani...pesa ni chachu tu katika mapenzi ..
Wanawake tunapenda kuwa loved,handled and cared hayo mengine ni ya ziada tu.
Shida ni kwamba tunaishi kwa experience ambazo watu wametuumiza sana..
Ushauri kwa akina dada wenzangu using`ang`anie kwa mtu ambae unajua hakupi thamani yako wewe kama mwanamke ,achana na huyo mtu na usonge mbele hadi utakapompata yule ambae atakujali na kukuthamini.
wanaume kamili wapo achaneni na wanaume wasumbufu ambao wapo kuumiza tu watu hawajui duniani walikuja kwa lengo gani...ni ushauri tu ..epuka kuumizwa fanya maamuzi sahihi.
Asubuhi njema
hakuna kitu ulichoandika hapo, hua nasema siku zote, ukiona mwanamke analalamika hapati wanaume safi tatizo hua liko kwake, mwanamke ovyo lazima upate wanaume ovyo maana unajiweka na wewe kwenye mazingira ya watu ovyo.. mwanamke safi hajichanganyi na watu wa ovyo atapataje mwnaume wa ovyo... we ovyo unapata wanaume ovyo unalalamika si wazuri kitandani, hadi hapo unatuonyesha kua ulikutana na majamaa wengi ukawafunulia ukajua hawako vizuri on bed, unajuaje ka wako vzr au vby? unajua mzuri on bed anatakiwa afanyeje? how did u know? na kusema uliokutana nao inamaana ni wengi, na kujudge inamaanisha sample space yako ni kubwa, sasa ukiitwa mapepe utalaumu? maana umegawa sana, ndo maana nasema ni we ni wa ovyo, wanawake wanaojiheshimu hawagawi ovyo ovyo, yani umejua msela wa ovyo afu bado ukamfunulia kukagua kama anaweza game ukakuta napo ovyo.. we ovyo sana we mwanamke
Kwanini unasema hivyo?
Kwa sababu msichana anayeingia kwenye mahusiano na mwanaume huyu anakuwa hajafuata pesa maana hazipo....anafuata mapenzi
inaonekana ujumbe umekufikia vizuri na utajirekebisha.
Ujumbe umefuta makosa yote!
mama yenu yupo wapi aliwazaa wote