Wanaume wanaohongwa na wanawake

Wanaume wanaohongwa na wanawake

Joined
Oct 2, 2012
Posts
18
Reaction score
8
jamani mie nina swali nataka kujibiwa nyie mna mchukuliaje mwanaume asiye fanya kazi , akiwa na elimu yake na nguvu zake akihongwa na mwanamke kwa ujira wa penzi?
 
Nipoa thana pale munapopendana ila nikaraha nakashfa kwawale wacoelewa mapenz yenu yang hayo.
 
Mjini Mipango sio SHULE!!!! Hiyo ni mipango, na wengi wametoka(wametolewa) kimaisha
 
Ni ujinga!!!km hana tatizo lolote..M/Mungu kamuumba na nguvu zake na viungo vyake, basi nauona n ujinga uliopitiliza!!hizi co enzi za kutegemea mtu!!!kila mtu ajitume ili kupunguza umaskini!!
 
jamani mie nina swali nataka kujibiwa nyie mna mchukuliaje mwanaume asiye fanya kazi , akiwa na elimu yake na nguvu zake akihongwa na mwanamke kwa ujira wa penzi?

Ujira wa penzi ina maanisha amefanya kazi ya penzi (Right?)...!
 
Mmmmh hao wa aina hiyo wanakera wanamkera mpaka Mungu baba na adhabu yao yaja
 
Hivi kuhonga ni mpaka mwanamke tu ndie anaetakiwa kuhongwa?mbona wanaume huwa wanawahonga wanawake hata kama hao wanawake wanakazi na pato kubwa? Kama humtaka we mpotezee na sio kumuona tegemezi,leo kwako kesho kwake.
 
hapo hahongwi ila anasaidiwa tena kwa maridhiano yao, ww kinakuuma nini?
 
jamani mie nina swali nataka kujibiwa nyie mna mchukuliaje mwanaume asiye fanya kazi , akiwa na elimu yake na nguvu zake akihongwa na mwanamke kwa ujira wa penzi?

Kawaida sana, huu ni msukumo wa mwanamke kwa mwanaume, kama ilivyo kwangu Mwanaume ambaye natoa matumizi kwa nimpendaye bila kujali ana pesa au hana, Sema ubaya ni pale Mwanamke siku akibadilika mwanaume lazima alie, So we as Men, Head of families! we are not supposed to entertain such kind of relationship.
 
Mjini Mipango sio SHULE!!!! Hiyo ni mipango, na wengi wametoka(wametolewa) kimaisha

Siamini katika mtu kunitoa kwa staili ya kunihonga.....Tatizo ninaloliona ni kuwa we want to replace the value of hard working with shoddy deals that are not sustainable to keep a person well for the rest of his life in town. Kuhongwa sio njia ya kuaminika ya kumtoa mtu kimaisha. Na mtu anayeamini hivyo aangalie mbali zaidi asije akawa anahongwa maisha yake yote ili tu aweze kula na kupata hela ya kununulia kinywaji.
 
Mbona sikuhizi wako wengi sana c'z vijana wengi ni masharobaro hawataki kufanya kazi
 
Hii species ya wanaume inakuwa extinct soon. I hope scientists wanahifadhi sperms.
Ila mtoa mada kuna kuhongwa na kulelewa. Ukisema asie na kazi analimishwa ndo anapewa matumizi huyo anauza. Ni biashara kana ilivyo uchangu.
 
hakuna haja ya kumuelewa huyo mwanaume.... Kiufupi ni muuza tu kama wauzaji wengine
 
mie nimekusanya sperm kwenye madiaba.

Nauza kwa kipimo cha kijiko cha chai mil 10, na mtu akijiwekea mimba isiposhika analipia tena.

Hii biashara inalipa sana aisee.

Hii species ya wanaume inakuwa extinct soon. I hope scientists wanahifadhi sperms.
Ila mtoa mada kuna kuhongwa na kulelewa. Ukisema asie na kazi analimishwa ndo anapewa matumizi huyo anauza. Ni biashara kana ilivyo uchangu.
 
jamani mie nina swali nataka kujibiwa nyie mna mchukuliaje mwanaume asiye fanya kazi , akiwa na elimu yake na nguvu zake akihongwa na mwanamke kwa ujira wa penzi?

...sasa kama hana kazi si poa tu. Unategemea aishije?
 
Back
Top Bottom