Wanaume wanaohonga ndiyo wanawaaribu wanawake

Kutongoza demu kwa kumhonga ni udhaifu kwa mwanaume yan hujiamini
Mada haijazungumzia wakati gani wa kuhonga mkuu,unaweza usihonge wakati kutongoza na ukafanikiwa kula mzigo lakini kadri muda unavyojongea ukajikuta unahonga.Huwezi mtenganisha mwanaume na kuhonga
 
Unaweza kutenganisha vizuri tu. Sema kama umezoa huwez kuona
 
Watu kama hawa utakuta mke/hawara yake kafubaa kisa kakosa matunzo
Ni haki ya kila mwanamke kutunza na mume wake. Kama ni mchumba wake inategemea na makubaliano yenu yalikua ni nini? Ila jua kuna tofauti kati ya kumtunza mke na kumhonga
 
Hata kama ni mpenzi,kuna ubaya gani ukimhonga ili apendeze na azidi kukuvutia? au ana shida na uwezo unao ila hutaki kumtatulia unaona raha gani.Na bahati nzuri umeeleza vizuri dhumuni la hongo.Wanaume tumetofautiana namna ya kumkabili mwanamke,unataka madomo zege wakaponee wapi?
 
Hao madomo zege wana mikato yao sema wanapenda ambavyo siyo size yao ndio mana inabidi waforce hata kwa mali au pesa nyingi
 
Hahahahaaa, lakini mkuu ukumbuke kupata kupata tu haijalishi umepataje
 
Hata kama ni mpenzi,kuna ubaya gani ukimhonga ili apendeze na azidi kukuvutia? au ana shida na uwezo unao ila hutaki kumtatulia unaona raha gani.Na bahati nzuri umeeleza vizuri dhumuni la hongo.Wanaume tumetofautiana namna ya kumkabili mwanamke,unataka madomo zege wakaponee wapi?
Huko siyo kuhonga ni kumtunza mpenzi wako
 
Back
Top Bottom