2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,182
- 4,828
Kwanza tukubaliane kuna tofauti kati ya kuhonga na kumpa mwanamke vitu. Ufafanuzi:👇👇
Kuhonga ni kutumia vitu kama pesa,vitu vizuri vya anasa kumshawishi mwanamke ili kutimiza lengo lako.
Kumpa mwanamke kitu pale anapoomba hupaswi kutoa kitu ambacho kipo nje ya uwezo wako,yani toa kwa moyo wako na uwezo wako,usitoe kwa sababu unahisi kuna kitu utapewa,toa kwa sababu unataka kumsaidia kutokana na tatizo alilonalo.
Madhara ya kuhonga:
Ukikutana na mwanamke aliezoea kuhongwa cha kwanza atakujaribu aone je na wewe ni "buzi"! Hata kama ulikua na nia ya kumuoa hawezi kuamini mpaka umhonge kwanza,ukimhonga basi anajua wewe ni buzi ukimuweka ndani siku ukikosa hatadumu sababu kashazoea kuchuna lazma atatfuta buzi lingine.
Ukiachana sifa ya 50/50 Wanawake wengi hawaolewi sababu ya kupenda kuhongwa kuliko ahadi za kweli. Wengine wanaachana na ndoa zao sababu ya zoea hilo.
Kama kuna anaebisha afanye utafiti mwenyewe. Ukishakuwa danga huwezi kuolewa ukakaa tena labda ubadili mtazamo wako. Kwa hiyo Mabuzi acheni kuhonga mnaharibu wanawake.