Wanaume wananitia wazimu

Wanaume wananitia wazimu

Tatizo la wengi ni kutojua maana halisi ya mapenzi...mapenzi ama upendo nini? hili likifahamika, malumbano yanakwisha.
 
huwaga nashangaa wanawake wanaolala na mzabzab anawatoa wapi?
Hiyo mitusi anayowapa balaa
 
Last edited by a moderator:
Sasa tucomment kwa hizi idea za kucopy mtu amejiandikia kuhusu wanaume au tucomment from your perspective of men?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
tunataka sex without commitment bana. wee lets enjoy no presha ya sijui utanioa ama mambo kibao.

hamna K ya bire wewe



Nakuombea kwa mungu akujaalie uzae watoto wa kike kama kumi hivii alaf wawe wanamegwa kama ww unavyomega watoto wa watu bila ndoa
 
We need understanding,.mtupende kwa kichwa na mioyo at per wengi wanapenda kwa moyo zaid..akiamua kutumia kichwa inakuwa ni kiburi sio rational reasoning!!!

We are good and bad stories in our own ways..
Hamna jemaaa!!
 
Ukitaka kuwajua na kuwaelewa wanaume, soma vizuri mahitaji yao muhimu.
 
Mwanamke mmoja kaumbiwa mwanaume mmoja tu, sasa wazimu waupata kwa kuwa pengine wahangaika na wanaume....

Hebu kanichekie kwenye hilo desa,mwanaume mmoja nae kaumbiwa wanawake wangapi?
 
Hii mbona kawaida sana mana ni half to half to man and woman na hasa bongo mana ukisema ukweli huaminika mpaka udanganye ndo waamin ukisema ukweli hawakubali
 
yani ukisema upoteze muda kuwawazia unaweza ukapata wazimu..bora uende kama wanavyotaka hapo mtakaa sawa
 
Back
Top Bottom