asante kwa kunitia moyo
salama rafiki?Be patient,atakuja anayekustahili na akakukubali hivyo ulivyo.
Kila mtu na mtuwe.
ha haaaa, tukiwaongelea kwa sauti ya chini mnatuonea sana.Punguza sauti ukiongea
Shida kubwa mliyonayo wadada ni kujiweka kwenye class zisizo zenu... Matokeo yake wa class yako wanakukimbia, na huko ulikojikweza wanakudharau... Mwisho wa siku utatupata sisi waume za watuhabar wanajamii. heshma kwenu.
Naombeni mchango wa mawazo. imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana MTU anaponitamkia hayo.
Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
Na mkiongea kwa sauti ya juu ndo tunawakimbia.. Uyumuka lakini???ha haaaa, tukiwaongelea kwa sauti ya chini mnatuonea sana.
^^
Ni kawaida ya kundi la aina yenu, nje mnajiamini, nje mna nguvu, nje mnajiweza, nje mnazidi sifa za baadhi ya wanaume! Ndani mnaumia, mna upendo, mnahitaji kufarijiwa, mnapenda kujitoa kwa dhati na kwa hiari, Lakini wanaume wanaojua siri yenu hii hamkutani nao sana!
Sasa, vaa tabasamu, ondoa mikunjo ya uso, tembea na ufunguo wa kuyaona mambo ni mepesi ! Azima sauti ya kawaida! Be simple!
Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke aliyekama mwanaume! Make a femine revolution inside yourself. Your a beautiful woman trust me.
(oo! Sorry kumbe hii ni thread ya wanasaikolojia, yachukulie hayo maneno ya mlevi tu)
^^