stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
Ni kweli mna real love kwa mpira na mambo yenu mnayopenda kama vile pombe n.k ila sio kwa wapenzi wenu na wake zenu.
nenda kule kwenye siasa ndo utajua kuwa haupo JFjaman comments za wanajamii forum znachekesha had raha,yan kama nkiboreka na nkitaka kufurah nazama ndan ya JF,stress zote znakua off
Mhhh.Si kweli labda kwenye mpira tu na pombe..Wanawake huwa wanapenda ila wanaume huwa wanatamani na upendo huja baadae.
Najilaumu sana nimechelewa huu mwaliko bila shaka mwenzangu Smile aliwahi.Smile na Zion Daughter mkitoka kwenye matendo ya huruma pitieni huku kwenye surprise ya laaziz wangu.....
Nitakujibu soon...wewe uko single?
kiukweli mwanaume yeyote anapenda kinachompa raha kwa hiyo kama unataka akupende kuliko mpira na pombe hakikisha unampa raha zaidi ya ile anayoipata huko
kiukweli mwanaume
yeyote anapenda kinachompa raha kwa hiyo kama unataka akupende kuliko
mpira na pombe hakikisha unampa raha zaidi ya ile anayoipata
huko
Ua lilikuwa moja tu, lol!Najilaumu sana nimechelewa huu mwaliko bila shaka mwenzangu Smile aliwahi.
Lakni naomba nigawie maua uliyoletewa zawadi nitashukuru.
Happy belated Valentine mpendwa.
Msalimie passion lady