baby wako kakufanyia nini leo?Mhhh.Si kweli labda kwenye mpira tu na pombe..Wanawake huwa wanapenda ila wanaume huwa wanatamani na upendo huja baadae.
Ahhhh!!!.Baby wangu yupo mbali bana na mimi hivo bila bila leo..Si vibaya ukinialika kwenye surprise ya baby wako.baby wako kakufanyia nini leo?
kama wewe ni bila bila mimi ni zero zero hadi muda huu!Ahhhh!!!.Baby wangu yupo mbali bana na mimi hivo bila bila leo..Si vibaya ukinialika kwenye surprise ya baby wako.
Afu niambie yule jamaa mwenye laki tano wa ijumaa ulifanikiwa kwenda nae mlima wa moto???
hahahaaaa.Basi Ngoma drooo mimi na wewe. Tujipange twende tukaonyeshe mapendo kwa watoto yatima basi msimbazi center..Mie ntakupitia wewe jiandae.kama wewe ni bila bila mimi ni zero zero hadi muda huu!
yule jamaa aliniudhi alipm eti ana vitz?
utaenda wapi na mwanaume ana vitz?
mi kweli naenda muhimbili kucheki wagonjwa si unajua kuna watu wametelekezwa mle?hahahaaaa.Basi Ngoma drooo mimi na wewe. Tujipange twende tukaonyeshe mapendo kwa watoto yatima basi msimbazi center..Mie ntakupitia wewe jiandae.
Halafu usidharau vidogo..Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.. Hako ka vitz kanaweza kukua na kufikia makamo ya Hammer.
Wewe hujui wanalilia hela zao wameliwa walizokuwa wamewekeana kama dau? Hawaililii timu, bali pesa.Nimejifunza na kuamini wanaume tuna true love kuliko wanawake, our love is for real, sema hatukutani na wale wenye real love like us ndo maana tunaamua tuwe pasua kichwa..
Nina imani tukiamua kumpa mwanamke real love kama tunazozipa timu zetu za mpira ingekuwa balaa,
Kwa kuangalia baadhi ya picha za mashabiki wa Celtics jana at celtic park in Glasgow Scotland utagundua men love for real
1.. shabiki wa celtic akilia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake kufungwa n 3-0 na juventus jana, huyu shabiki aligoma kutoka kwa 30 minutes after a match hadi official wakaja kumtoa
Shabiki mwingine akiondoka kwa uchungu ndani ya celtic park jumamne usiku baada ya timu yake kufungwa,, uchungu kama huu unakuja kwenye real love tu, ni wanawake wachache duniani wanaopata bahati ya kumliza mwanamme kwa uchungu kama timu zao za mpira zinavyowaliza wakifungwa.... hapo alipokuwa anatoka ndani ya uwanja wao wa nyumbani celtic park aka paradise huku analia kwa uchungu baada ya kushuhudia team yake ikifungwa na juventus jana usiku kwenye champions league knock out stage game 1… uwanja wao wanauita paradise maana wanajisikia furaha sana wakiwa hapo na wameumia sana kushuhudia wakifungwa magoli hapo hapo nyumbani kwao na juventus..
JE HUU UPENDO KWA TEAM ZETU TUNGEWAPA WANAWAKE ZETU INGEKUAJE?
hahahaaaa.Basi Ngoma drooo mimi na wewe. Tujipange twende tukaonyeshe mapendo kwa watoto yatima basi msimbazi center..Mie ntakupitia wewe jiandae.
Halafu usidharau vidogo..Wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha.. Hako ka vitz kanaweza kukua na kufikia makamo ya Hammer.