Wanaume waliotaka kunioa nikakataa hawa hapa

Yaani una ahirisha kuolewa simply because nyumbani kwa mwanaume ni kuchafu? You are not serious Madame, sure I'm telling you. Subiri uje umuone mwanamke mwenzako anayejua umuhimu wa Mume atakavyo mbadilisha hadi utashangaa na roho yako! Ndio tatizo la mabinti wa siku hizi za mwisho
 
Ni uchafu tu au kuna kingine? Ndo unatakiwa uolewe nae ili ukafanye usafi. Kazi ya mke hiyo!
 
mbona mnanihukumu wakati sijafika mwishoni?
Ni uchafu tu au kuna kingine? Ndo unatakiwa uolewe nae ili ukafanye usafi. Kazi ya mke hiyo!
hamjanyonyana mchunguzane kama nyiye ote wasafi
 
Hahahaa ila miss natafuta una vituko sana,huwa nacheka mpaka basi. Malizia story basi mie nilale
 
Sasa kuumizwa na usafi vinahusiana nini Mkuu!!
Nimewasikia baadhi ya mabinti wengi kidogo wakilalamika kuwa wameumizwa na wapenzi wao lakini utakuta wanatoa wasifu wao. Wasifu mkubwa kabisa ni kuwa "alikuwa Mtanashati kweli, anajua kuoga" [emoji23]
 
Huyo ni mumoja. Mwingine naye alikuwaje? Au wote wako hivyo?
 
Ungefanikiwa kujua mtego huo mdogo kuwa geto lile halikuwa lake......ungelamba dume.

Lakini yote heri.Fanya kile ambacho roho inapenda
 
Nimewasikia baadhi ya mabinti wengi kidogo wakilalamika kuwa wameumizwa na wapenzi wao lakini utakuta wanatoa wasifu wao. Wasifu mkubwa kabisa ni kuwa "alikuwa Mtanashati kweli, anajua kuoga" [emoji23]
Mapenzi hayaangalii hayo, penzi linatoka ndani ya moyo. Hizo ni sifa za mtu tuu, na kama mtoa mada amesema yeye hakumpenda ila alipenda mali zake, kwa hiyo alivyokutana na sifa ya uchafu akaamua kuacha vyoote. Lakini pangekuwa na penzi la kweli huo uchafu anaouwezo wa kuubadili kuwa usafi!!!
Upendo ni kila kitu Mkuu!!
 
Jengo la mume nyumba ya mke,.ndo ukamtengeneze awe msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…