Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
[emoji119][emoji119]Aisee
Wanakua vicheche balaa maana wakiwa vijana hawakupitia utundu ule,sasa ukubwani ndiyo wanaonja wanapagawaNaomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Kaka mambo gani hayo ya kuharibiana Cv ?Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
[emoji15] [emoji79]
MmmmmmhWahuni balaaaa. .
Hawajawah jihusisha na mapenzi hence ni rahisi kutekwa Na Gal anayejua ku care thus why aliambiwa shikilia anaweza kuibiwa.
Shika adabu yako.Wanaume wengi waliosoma huko wanatabia ya kutoa 0715
Watch it, mind your language.Wengi nnao wajua mimi wamekua Mashoga
punyeto ya kila aliyesoma boarding mkuu.Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
Kupiga punyeto ni tabia ya mtu, it has nothing to do na kusoma seminary.Asilimia kubwa ya waseminari niliokuna nao advance na chuo ni wapiga punyeto na masnitch.
Au niwataje majina hapa?
Hata mm nimepiga nyegezi seminari kwenye enzi ya RECTOR ALFRED LWAMBA njombaaaaNimesoma seminary pale nyegezi, for almost 5 years nlikuwa mseminari kwa sasa namshukuru mungu kwani kila sehemu nayokwenda watu wanapenda kuishi nami wakiniita baba paroko, seminari inafundisha vitu adimu sana hasa katika maadili
Tujuane aisee, mie pia nilikuwepo pindi lwamba ni rector,Hata mm nimepiga nyegezi seminari kwenye enzi ya RECTOR ALFRED LWAMBA njombaaaa
acha matusi yako mkuuWanaume wengi waliosoma huko wanatabia ya kutoa 0715
Dah ni long time sana ila LWAMBA alimaliza mda wake mwaka 2010 ..na mwaka 2011 akaja fikiri mm niliua 2011 vp ww uliua lini!?Tujuane aisee, mie pia nilikuwepo pindi lwamba ni rector,
Nliua 12, we si ulikuwa class moja na kina methu, nyabange na wengineoDah ni long time sana ila LWAMBA alimaliza mda wake mwaka 2010 ..na mwaka 2011 akaja fikiri mm niliua 2011 vp ww uliua lini!?