Wanaume waliooa ndoa za wake wengi hawaendelei kimaendeleo

Wanaume waliooa ndoa za wake wengi hawaendelei kimaendeleo

Ndiyo kusema wanawake wametuzidi akili siku hizi na ndiyo kichwa cha familia sio?
Wale mama zetu walitumika mashambani kuzalisha. Siku hizi wanawake wanafanya kazi au biashara bado wanataka wahudumiwe kama mama zao bila kujua wale pamoja na kuhudumiwa walikuwa na mchango mkubwa kwenye familia. Kwa maana hiyo wanawake wametupiga bao kwa kutaka wahudumiwe bila kuwa mchango kwenye familia kwa kutumia utaratibu wa baba zetu kwamba mwanaume ni kichwa cha nyumba.
 
Hii thread imewekwa kiujanjaujanja sana.....hapa kuna fumbo. Kichwa sahihi cha thread hii ni waislamu kwa kuruhusiwa kuoa wake wengi wamekuwa masikini kuliko wakristo. Huo ndio ukweli!!!
Hapana mkuu, umefika mbali sana siwezi kuweka Uzi kwa malengo hayo kwasababu kwani Mimi sina macho? Mbona waisilam ndiyo ma bilionea wa nchi hii! Huko ulipowaza wewe sipo kabisa ndg
 
Jamani habari zenu
Naomba niwashirikishe ktk hili.nimejaribu kufanya utafiti kidogo Mimi mwenyewe juu ya ndoa ya mke zaidi ya mmoja, na nimegundua watu wengi waliooa mitala hawaendelei au walioendelea kisha waka oa hukoma hapo hapo.

Sasa najiuliza ikiwa hizi ndoa zimeruhusiwa kabisa na mungu mwenyewe, mbona zinaonekana kama jihanam ktk familia? History inaonyesha wazee wa zamani hata wale mashujaa wa ulimwengu, mbona walioa wanawake wengi sio wawili tu mbona walifaanikiwa?

Na sisi wanaume wa sasa tuna upungufu kulinganusha na wenzetu? Wajuzi wa mambo haya jmn naombeni kuelimishwa
Umetafiti au umemwona mmoja ukaita utafiti? Mwo go wewe!
 
Back
Top Bottom