Wanaume walio kwenye ndoa na wanachepuka mtusaidie

Wanaume walio kwenye ndoa na wanachepuka mtusaidie

Ni wajinga tu....

Anamuumiza mkewe kisha akirudi anakula chakula chake..... analala nar kitandani
..
Akiumwa atauguzwa nae....
Mbaya zaidi atakaa kwa mkewe mpaka apone ila kwa mchepuko haendi.Utahangaika kama mwehu hadi awe mzima tena ila akipona tu anarudi kwa mchepuko.Sijui ni kukosa akili ama vipi
 
Back
Top Bottom