Wanaume wakware na wanywaji

Wanaume wakware na wanywaji

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Habari wakuu, yaani nimefanya kautafiti kangu kasiko rasmi nimegundua ni ngumu sana kwa mwanaume mkware au mnywaji wa pombe kufa kutokana na stress za mapenzi tofauti na wanaume ambao ni watulivu na wanaocare wakizinguliwa kidogo tu kwenye mapz wanaweza kumdhuru mwanamke au kujidhuru wao wenyewe!!
Nawasilisha.
 
Shida ni pale unapozinguliwa na kadashiani na hela ya gambe huna.. kujikili ni simple tu mwana..
 
Tena hao ndo balaa anapiga kwanza vitu ndo anajitundika au anatia vidonge ama sumu kwenye balimi anagida dk chache tu mbiguni mnabaki kuumizana kwa vilio na kumaliza maji yenu ya mwili kupitia machoni a.k.a machozi band.
 
Habari wakuu, yaani nimefanya kautafiti kangu kasiko rasmi nimegundua ni ngumu sana kwa mwanaume mkware au mnywaji wa pombe kufa kutokana na stress za mapenzi tofauti na wanaume ambao ni watulivu na wanaocare wakizinguliwa kidogo tu kwenye mapz wanaweza kumdhuru mwanamke au kujidhuru wao wenyewe!!
Nawasilisha.
Ngoja waje WAKWARE na WALEVI mkuu.
 
Back
Top Bottom