mwalimu maskini
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 169
- 72
mkuu kisasi kinaruhusiwa hasa katika mlango wetu maana uchokozi kwetu ni moja ya miiko mikuu. haki na kisasi ni moja ya tunu la mlango wetu na wakurya wote! ila kiukweli wakurya tunapenda sana mie mpaka mchumba wangu huwa ananiambia nipunguze kidogoHawana kinyongo hawa si ndo waliwauaga watu pamoja na mifugo yao mwaka 2009 as a form of kisasi
Mmh, huwajui tu.
Ahsante kwa kutaka kujua,
TABIA NZURI
1. Wajasiri sana
2. Wavumilivu
3. Hawatoi talaka ovyo ovyo
4. Ni watafutaji pesa wazuri-wauza mayai kwa Dar
5. Wanampenda Mungu
6. Wengi wao ni Wasabato
7. Wanajituma
8. Hawataki uonevu-wanapenda haki
9. Hawana kinyongo
10. Wana nguvu-giants
HASARA ZAO:
1. Ni WAKALI SANA wakichokozwa na hawataki mabo ya nenda rudi kesho.
Wao ni hapo hapo unachukua (kibano) chako faster.
Motachambe!!!!
Nakataa apo namba 5
dah!! kuna mkurya mmoja kwenye kutongozana stage tu niliisoma namba. mie nawaogopa sana. bora kuna kabila flani hivi wanaonekana kama washamba ila niwatamu kuwala hata bila mchuzi.
nawaogopa wanaume wakurya na wachaga...
Ahsante kwa kutaka kujua,
TABIA NZURI
1. Wajasiri sana
2. Wavumilivu
3. Hawatoi talaka ovyo ovyo
4. Ni watafutaji pesa wazuri-wauza mayai kwa Dar
5. Wanampenda Mungu
6. Wengi wao ni Wasabato
7. Wanajituma
8. Hawataki uonevu-wanapenda haki
9. Hawana kinyongo
10. Wana nguvu-giants
HASARA ZAO:
1. Ni WAKALI SANA wakichokozwa na hawataki mabo ya nenda rudi kesho.
Wao ni hapo hapo unachukua (kibano) chako faster.
Motachambe!!!!
Habari ndugu zangu!!
Naomba mnijuze sifa/tabia(nzuri na mbaya) za wanaume wa kabila la wakurya!
Me sina hamu nao, Wanapiga kipigo cha mwizi
Hahahaa haaaa uwiii
Nani kafukunyua huu uzi