Wanaume wako likizo

Sahani20

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
1,518
740
hivi sasa wanaume hawataki kuoa hali ni ngumu mtaani
ewe mdada jiangalie/jichunge
watakuchezea na kukuacha
wanadai wako likizo
 
Fikra na mtazamo wako ni mdogo kuliko kawaida.
Tafadhali usiongee maneno yasiyo na maana.
 
kama ww hutaki kuoa basi tulia sie wenzako tuwahi ,, kwani hujui ile methali isemayo ``chelewa chelewa utakuta mwana si wako?`` ukisusa, sie twala.
 
Back
Top Bottom