Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,252
- 24,089
Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake.
Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge namna gani.
Wanaume hawa huwapa hela wake zao wakafanyiwe massage 💆‍♀️ (waogeshwe na mwanaume mwingine)
Wanaume sampuli hii hudhani wanaenda na maisha (ukisasa) kumbe hupoteana pasipo kujua wao wenyewe.
Basi mke wake atashikwa shikwa kila sehemu ya mwili wake huku hela inayotumika kumshika huyo mwanamke ni ya mwanaume mjinga(useless Men)
Mwanamke mwenye kujitambua na kujielewa hata awe na pesa namna gani huwezi mkuta kalipia hela yake ashikweshikwe ovyo na mwanaume asiye mme wake.Ni aibu kwakwe,mme wake na familia kwq ujumla.
Wenyewe wapaka rangi humuona mwanaume aliyeruhusu mke wake apakwe rangi kucha zake humuona ni mjinga mpumbavu asiye na akili.
Kama unakataa muulize mpaka rangi mwenyewe "Eti mke wako wewe(mpaka kucha) unaweza kuruhusu apakwe rangi na kijana kama wewe au mwanaume mwingine?"
Akikubali niite muongo.
Mwanaume mwenye akili na utashi kamwe hawezi kumruhusu mke wake au hata mchumba wake tu ashikwe shikwe miguu na mikono ovyo na mwanaume mwingine!
Wanaume wajinga malofa wako humu watakuja kusema TAFUTA HELA,HAYAKUHUSU,KINAKUUMA NINI NA MANENO MENGI YA SAIZI KUBWA NA NDOGO HUKU MAPOVU YAKIWA YAMEJAA MDOMONI KAMA MBWA ALIYELISHWA SUMU.
Usishangae una chepuka na mke wa mtu una kuta anabonge la Tattoo karibu na papuchi wewe jua wazi kabisa mwanaume mjinga na LOFA alihusika kikamilifu kulipia huo mchoro kisha mchora Tattoo pasipo kupoteza fursa akamkula.
Hao ndio wanaume wajinga soon watajazana hapa. Ukiona kafula jua inamuhusu mazima.
Nimepewa orodha ndefu sana ya wake wa watu waliochorwa Tattoos na msela wangu (mchoraji) na amenihakikisha huwa anajipakulia kila atakaye muhitaji.
Zaidi ya yote wanaume walifikia hatua hii huwezi washauri.