Wanaume wafupi tunateswa

Wanaume wafupi tunateswa

Study zinaonesha watu wengi wafupi wenye asili ya Africa ndiyo wamefanikiwa zaidi na warefu wenye asili ya ulaya ndiyo wamefanikiwa zaidi. Ni taarifa tu
 
Niliwahi kusema humu siku moja,ukimuona mwanaume ana umalaya/ufuska wa kuptiliza fuatilia historia yake,utagundua kuwa aliwahi kutendwa na wanawake katika maisha yake,inaweza kuwa ni kwa sababau za uchumi,umbile,afya,rangi,muonekano n.k,sasa akija kuzipata hela anajikuta kisaikoljia analipiza bila ya kujijua...
 
Ashakum si matusi [emoji24] visa vyangu


1.)Wanangu leo nilikuwa natoka chuo
Jioni ya saa 11 nikapishana na demu pisi kweli nikamfuata kumwomba namba alichonijibu " sipendi viadunge we mdogo kama maharage ya mbeya" akanisonya [emoji24][emoji24][emoji24] nikaishia

2.) 2019 after 4 kwenye daladala kuna pisi nzuri ilijongea tulikuwa 2 tu naichombeza kidogo tu kuomba namba mara "we na ufupi wako utanipeleka wapi".

3.) 2020 karibu na kwetu kuna dada kafungua duka la mambo ya kike sasa kuna siku alitoka njee kununua ndizi kulikuwa na duka la vitu vya sokoni kwa pembeni alikuwa na ****** balaaaa nikasema ngoja nimchomboze kwanza naongea nae ananipandisha na kunishusha tu na kunijibu kimikatokato kuomba namba hola eti sina simu jina kumuuliza oooh naitwa Juma daaah asee [emoji24][emoji24][emoji24] iliniuma sana

Sasa nimeapa ninakuja kulipiza kisasi kwa hawa wanawake wote wanaonikataaa kisa ufupi wangu nyie ngojeeeni nipate [emoji383] mtaona cha moto nitakuwa kama mondi ndugu Carlos The Jackal nipo kwenye operesheni maalumu mkuuu nimetendwa sana kisa kimo changu na mfuko wangu ntaanza kufuata nyayo zako mda si mrefu mkuu

#siwasilishi#
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji34] moja ya pisi ntakayoanza nayo ni hiii hapa
Inawezekana jinsi unavyowafata unawafanya wawe katika hali ya kujilinda kwaiyo anatafuta tu sababu ya kukukataa.
Jaribu kubadili mbinu.
Pia usiumie kwa jinsi ulivyo umbwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom