Yaani wanafikiria badala ya kuitafuta khaa kwani mtu akiwa mfupi mpaka akili inakuwa fupi?
Nakubali watu wa kanda ya ziwa,kigoma,na Arusha kuna wanaume warefu,

kwa hiyo una uhakiki kwamba mimi nimeoa! au unamanisha nini? ukiona naleta maada usifikiri ni mimi nahusika asilia mia moja. hapo natumia nafsi ya ummoja ili kufikisha ujumbe haraka.