WAFULA CHEBUKATI
Member
- Aug 13, 2022
- 41
- 98
Wanaume ni wachache sana.Duuh kazi kwelikweli
Kwa hiyo unataka kusemaje hapaSiti ya daladala haina mmiliki
Kuna mmoja alikikimbia chumba chake baada ya kuwagonganisha, ripUnaingia chumbani unaoga unalala Alf hapo uongei na yyte.
Na hyo siku huondoki unalala hapo hapo.
Wanaume wachache
Shoga ulitoka kuleaYes , saivi narudi high class zangu hapo nilipo naenda shopping Leo naenda kumpendeza narudi gym , na pambana saivi niwe naenda gym zile za gharama , maana Mimi nilikuwa napendwaga na hao sio kajambanani hujui swaga zangu kiuono kiuno . Cheni za gharama sijiuzi ila napendwa ngoja
Babe love.Yes , saivi narudi high class zangu hapo nilipo naenda shopping Leo naenda kumpendeza narudi gym , na pambana saivi niwe naenda gym zile za gharama , maana Mimi nilikuwa napendwaga na hao sio kajambanani hujui swaga zangu kiuono kiuno . Cheni za gharama sijiuzi ila napendwa ngoja
Muoga alf anacheat.Kuna mmoja alikikimbia chumba chake baada ya kuwagonganisha, rip
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Shida Iko wapi sio yako nigakeHellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Sijakuelewa aisee
WANAUME!😔 Umeshawahi nikuta hiyo scenarioHellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Ni wanaume wabaya au ni mwanaume wako ndo mbaya?Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Wanaume ni wabaya AU MWANAUME wako ni mbaya?Pole sana
Msamehe tu
Tunapendaga kwa mafungu mafungu
Pale tutapenda kalio,hapa tutapenda rangi,kule tutapenda kiuno,sauti,maujanja
Sasa kumkuta huyo mwanamke kavaa khanga na tishet yako, ndio utuambie sisi wabaya [emoji854][emoji854] mbaya ni huyo aliyevaa nguo zako sio sisi[emoji51][emoji51]Hellow lovers,
Wanaume wabaya sana. Vuta picha mtu unampenda sana, unaenda kumtembelea unamkuta na mwanamke amevaa khanga na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.