mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Mule muleAkinihakikishia usalama wa pesa asijali kabisa, am very patient![]()

Mule muleAkinihakikishia usalama wa pesa asijali kabisa, am very patient![]()

Salama mkuu, ulipotelea wapi?Habari za cku mkuu
Nzuri mkuu.Habari za cku mkuu
Nilikuwa likizo sasa nimerudiSalama mkuu, ulipotelea wapi?

Ndo ukameza kabisa funguo za piemu yakoNilikuwa likizo sasa nimerudi
Vp za cku
Bado nasubir namba mkuu😂😂bebi anahasira na viumbe hivi..ila nenda naye taratibu
Hahahaha hakuna bana mbona hakuna kufuliNdo ukameza kabisa funguo za piemu yako
What does what suppose to meanWhat does this suppose to mean ?
Miss you my dada, mzima lakini?
My kaka how are you?
Eti na wewe unathread"Nimekuwa mwaminifu sana kwa hawa wanawake kwa nyakati zote ambazo nimewahi kuhusiana nao.
Lakini mshahara wa haya ni kusikiliza nyimbo za baraka, IBRA nation na lavalava.
Haijawahi kutokea Mimi niwe chanzo cha maumivu ya mwanamke ambaye Niko naye. Hawaoni memaa yangu wananilipiza maumivu yasiyovumilika.. Asanteni wanawake kwa kunizawadia maumivu"
Halafu baadae mnasema wanaume wabaya?
Hivi mkwawe wanatakaga nini hawa viumbe?
Nami kuanzia leo nakuwa mwanaume mbaya na kila mwanamke nitakaekutana nae ahesabie kilio"
ALISEMA RAFIKI YANGU MAYENGA





Bado nasubir namba mkuu
Hahaa,mi nasubir namba tu.maelezo mingine "NO"😂😂mie niliunga juu kwa juu baada ya kuona mshikaj amenusa harufu ya fursa..kama kuna "fulusa"nistue
Haya nakuja hukoHahahaha hakuna bana mbona hakuna kufuli
Hahaa,mi nasubir namba tu.maelezo mingine "NO"