Wanaume wabahili na wategemezi

Uongo wewe umesema una 29 nadhani yeye ni 24 ndo maana Bado Anaishi kwao
Heeeee kasema wapi?

Umeona eeh hisia zetu?

Hawajui thread wanazokuwa wameandika nyuma zinawaumbua!!

Yaani JF kuna vitukooo...
 
ha ha nilikua nae dizain hyo nilipiga chin mapena achana nae alupendi
 
Heeeee kasema wapi?

Umeona eeh hisia zetu?

Hawajui thread wanazokuwa wameandika nyuma zinawaumbua!!

Yaani JF kuna vitukooo...
Acheni kutunga data sijasema hivo abadani yy ana 28 mie nna 27
 
Dida anauza ma doldo, unaweza kutumia moja wakati ukisubiri the right man, huyo mwanaume hana mapenzi na wewe, yuko kukuchuna, mwanaume anaekupenda yuko tayari hata kubeba zege ili akusaidie.
 
Heeeee kasema wapi?

Umeona eeh hisia zetu?

Hawajui thread wanazokuwa wameandika nyuma zinawaumbua!!

Yaani JF kuna vitukooo...
Tatizo lao hawatafuti wanaume bali wanatafuta wavulana ili wawanyonye na kuwaendesha kama magari (Shilole, Wema, Antie Ezekiel na hata huyu wakuswampa ni gume tu. Hivi uliona wapi mwanaume ananuna nuna kama mtoto. Si unaona hata hataki waende outing wote kule Zanzibar etc. Halafu anakuja kulalama hapa JF. Kwanza bado analelewa na mama yake aibu
 
Huyo jamaa nae bwegge hv unajisikiaje kumpora mkeo/mchumba hela?
 
Mtoa mada wewe ulishakuja na uzi unasema boyfriend anaekaa kwao anaboa....ndani yake ulisema anafanya kazi na hela anapata....leo umekuja na mpya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…