Wanaume wa Tanzania wako insecure (hawajiamini)!

Wanaume wa Tanzania wako insecure (hawajiamini)!

Umeanza vizuri tu Mkuu nimekuelewa sana tu, sasa hiyo mifano ya wanawake uliotoa mfano Zari, mbona wanaopiga kilele ni wengine sio sio mhusika I mean Ivan, hata kwa Frola sidhani kama Mbasha anahuo mda wa kumwombea mabaya Frola.
 
Duuu amazing investigation hilo jambo ni true kAbisa wala hujakosea we have 2 Change
 
Back
Top Bottom