Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani huko mkoani Kilimanjaro hasa wilaya ya Rombo.
- Pombe haramu kali zaidi ya 45 zimeathiri vikali wanaume wengi na hivyo kuwafanya kupoteza nguvu za kufanya kazi na nguvu za kiume.
- Akina mama wamekuwa wakikodisha wanaume/vijana kutoka sehemu zingine ili waweze kuzalishwa na kukidhi haja za kimapenzi
- Kutokana na wanaume wengi kushindwa kuzaa, kuna shule za msingi zimekosa watoto.
- Kuna pombe zinazotengenezwa kwa mbolea ya urea na unga na kemikali za betri chakavu. Kama unafahamu betri ya "National" unaujua unga wake ulivyo.
- Akina mama wakiri kukodisha vijana ili wawakidhi haja zao, wanaume nao wasema hawana namna.
Tafadhali mabazazi msikimbilie Kilimanjaro.
Ndio maana wanawake wengi wanalalamika kila leo mmu hawafikishwi, nadhani pombe itakuwa inaongoza kuleta hilo tatizo, sio Kili tu bali Tanzania nzima.