Wanaume wa mkoani

Wanaume wa mkoani

lovebitelol

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
964
Reaction score
972
Mje hapa mtuambie ni kwanini msiwekwe kundi moja na wake zenu

1477718061079.jpg
 
Swali linakugeukiaeni ninyi wanaume wa dar. Mje mtuambie kwanini mnashindwa hata kitu kidogo kama anachofanya huyo mama?. Kwanini mnashindwa hata kunyanyua tofali?
 
Wanaume wa dar bwana, washaanza kujitetea baada ya kushindwa kumzuia scorpion asimtoe mtu macho kwenye hadhara
 
Swali linakugeukiaeni ninyi wanaume wa dar. Mje mtuambie kwanini mnashindwa hata kitu kidogo kama anachofanya huyo mama?. Kwanini mnashindwa hata kunyanyua tofali?
Swali linakugeukieni wa mkoani heb fanyeni tathimini kati ya mkoani na dar ni wapi kwenye majengo mengi? Na ni nani ameyajenga?
 
Swali linakugeukieni wa mkoani heb fanyeni tathimini kati ya mkoani na dar ni wapi kwenye majengo mengi? Na ni nani ameyajenga?
Swali linageukia kwa wanaume wa dar tena. Kwanini mnashindwa kujenga hata nyumba ndogo tu ya kuishi mnawaita wachina waje wawajengee?
 
Hapo mwanaume kaenda kunywa pombe za kienyeji..alafu akirudi anamdunda mwanamke wake.Aisee!
 
Back
Top Bottom